Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nimekuwa nikifuatilia mada nyingi humu ndani na kupitia hapa nimepata kujifunza mengi mazuri ,hivyo nimeamua kujiunga rasmi hapa jf,,,,hellow
0 Reactions
10 Replies
1K Views
napiga hodi cijui wenyewi wng mpo!
0 Reactions
5 Replies
838 Views
Hi
Hodi Hodi wana JF Naingia
0 Reactions
6 Replies
908 Views
Aslaam alekum, bwana asifiwe wanajamii forum
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hallo WanaJF, Huyu ni member mupyaaaa! Anasema hodi hodi. Nategemea kuwa mwanachama hai, mwadilifu, na asiye na matusi. Natumai mtanipokea kwa ukarimu.
0 Reactions
9 Replies
898 Views
jamani naombeni munifundishe namna ya kuweka na picha yangu kwenye profile yangu kama nyinyi namaanisha zitokee details na picha yangu. Please kwa yeyote yule naomba anisaidie msinicheke sijui...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
naomba mnipokee mimi mwanachama mwenzenu
0 Reactions
9 Replies
931 Views
Nani yupo mlangoni anipokee jamani naja kama simba nauvunja ukimya kama maji mtungini na ugeni wa jukwaa kama mtoto azaliwaye ucku.
0 Reactions
3 Replies
667 Views
Habar wana JF,polen na msiba wa jembe wetu Kanumba Mungu amweke pema.amein,ninayo furaha kujitambulisha kwenu kama mwana jf hivyo naomba ushirikiano wenu,heri ya Pasaka kwenu wote.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni mnikaribishe wana member
0 Reactions
3 Replies
717 Views
Kwanza poleni kwa msiba.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani hodi huku, naomba kuwasilim wanajamii wote nanaomba mnikarishe niwe mwanajamii mwenzenu, naishia kuwasilim leo
0 Reactions
7 Replies
976 Views
Hello everyone.
0 Reactions
5 Replies
894 Views
Hello Ladies and Gentlemen of Jamii Forums! Right and Correct Information at the Right time is the basic need of the contemporary modern human being
0 Reactions
4 Replies
787 Views
Nahitaji ushiririkiano wenu
0 Reactions
4 Replies
724 Views
Enyi wana JF. naja jukwaani na yangu machache ili kuzitafakari mada mbalimbali. Wote wenye fikra pevu nikaribisheni kwa uchache wa wivu, wepesi wa chuki, wingi wa upendo na uzito wa furaha ili...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
naomba mnikaribishe mimi kamanda mwenzenu....pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
0 Reactions
6 Replies
798 Views
Aslaam alyikum.Nipokeeni jamani
0 Reactions
1 Replies
764 Views
Asalam aleykum wote,naomba usajili na ukarim jukwaani,nipokeeni jamani.
0 Reactions
2 Replies
823 Views
salam wana thread! Mimi pia ni mgeni pande hii,nijejiunga jana ila mashkoro magen yamenifanya niwe na kimbele nyuma! Kimbele ni kwamba nilianza kuchangia thread na kupost zangu bila kuji...
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Back
Top Bottom