Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
habari wanajamii! Wakubwa shikamoo! wadogo mambo vp?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hodi hodi wenyewe
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana JF naomba mnikaribishe, mi ni mwana JF mpya. Nimependa mtirlriko wa Hoja za humu JF. Napenda mawazo mapya yenye kujenga. KISHOKA_ZUMBU ORIGINAL.
0 Reactions
6 Replies
844 Views
Baada ya kuwa mgeni kwa muda mrefu, nimeamua kuwa mwanachama. Naamini tutashirikiana katika mengi. Msinichoke nitakapohitaji ushauri wenu. Ahsante
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Nimekua nikisoma thread zenu nzuri na zenye mtazamo wa kujenga fikra pevu ndugu zangu wana jamii na nimekua na kiu ya kujiunga ili namii niwe mmoja wa wanajamii sasa kwa uwezo wa MUNGU...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Just joined the community. Will be back soon. Thx.
0 Reactions
3 Replies
749 Views
Ninayo furaha kujumuika na watanzania wenzangu katika kufanya hii kazi ya kuelimisha jamii,shukrani ziwafikie wana jamii wenzangu kwa yale mnayoyafanya katika jamii forums.
0 Reactions
3 Replies
744 Views
Hellow, Jamiiforums Members. How are you. Its just a self intro to the famous jamiiforums family. Thanks.
0 Reactions
5 Replies
763 Views
Jamani jamani jamiiforum imenifanya nipate raahaaa mpaka nikaamua nijiunge nanyi katika kushirikiana kwenye mawazo mbalimbali! Naombeni mnikaribishe!! Katambao Asanteni!
0 Reactions
3 Replies
682 Views
Rehema za mwenyezi mungu sowed juu yenu
0 Reactions
2 Replies
820 Views
Morning Guyz im happy to join u
0 Reactions
3 Replies
873 Views
mtoto ndo naamka.
0 Reactions
3 Replies
800 Views
Habari wanajamvi,naomba mnipoke ,makosa mnikosoe,mazuri mnipongeze. Ahsante
0 Reactions
5 Replies
710 Views
hellow
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello great people,Here comes Bra-joe, I hope I'll be wellcomed.
0 Reactions
3 Replies
691 Views
Hellow to all!
0 Reactions
3 Replies
587 Views
Naomba kuwasalimia wana JF...nilikuwa hapa 2008 na kwa sasa hivi mimi ni reload
0 Reactions
6 Replies
877 Views
Yeah, niaje wakubwa!
0 Reactions
4 Replies
943 Views
Hellow jamii forum members, iam a newcomer to this community i wld like to say hi! to u all.
0 Reactions
2 Replies
970 Views
hi,im a new member in z house;nipokeenii asante
0 Reactions
3 Replies
594 Views
Back
Top Bottom