Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
hod jf hop mtanpokea vizu r nami niwe great thinker.
0 Reactions
3 Replies
600 Views
habari zenu wana JF!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jf mpoo!! Nashkuru sana kujiunga na nyinyi ktk jukwaa lenu hili.niko very interested na da way mnavyopashana habari.JF NIPOKEENI KWA MIKONO YOTE.LOVE U ALL.
0 Reactions
5 Replies
731 Views
Naomba ukaribisho kijiji hiki wakubwa na wadogo. Naamini tupo pamoja.
0 Reactions
5 Replies
877 Views
Much respect 2 ya all.
0 Reactions
2 Replies
713 Views
​Chinese firm leased obsolete aircraft for Air Tanzania SHAREBOOKMARKPRINTEMAILRATING ATCL’s Dash 8-300 aircraft that skidded off the runway at Kigoma airport. Picture: File By MIKE...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natumaini wote ni wazima nilikuwa napita njia kila siku leo nimeona na mimi niingie ukumbini For sure Jf ni sehemu ya kuongeza maisha hamna siku itapita bila kucheka na kujifunza kitu...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wana JF, nimefurahi sana kuwa member wa jukwaa hili muhimu katika kuchochea mustakabali mzuri wa jamii yetu ya Tanzania
0 Reactions
8 Replies
905 Views
Hodi humu ndani wajameni... Ni mimi ndugu yenu Nyama Choma naomba kwa heshima na taadhima mnikarishe ndani niweze kushiriki nanyi katika ujenzi wa taifa letu changa sijui litakuwa kubwa lini...
0 Reactions
6 Replies
966 Views
Jf mpoo!! Nashkuru sana kujiunga na nyinyi ktk jukwaa lenu hili.niko very interested na da way mnavyopashana habari.JF NIPOKEENI KWA MIKONO YOTE.MIC U ALL.
0 Reactions
4 Replies
699 Views
Jamani, mimi napita tuu ila nami nimo humu. Thanx
0 Reactions
9 Replies
1K Views
ni aje wadau wa jf?
0 Reactions
5 Replies
776 Views
Jamani nalazimika kujitambulisha upya kwani nimekuwa mgeni ndani nyumba, baada ya kukubwa na gharika la matengenezo na maboresho ya server yetu wiki iliyopita. Mimi ni wenu yule yule mbalu
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimefurahishwa na ukumbi huu, nikaona heri nami nijumuike ili tubadilishane mawazo, tupashane habari na tujiendeleze kwa namna mbalimbali. Asanteni kwa kunihimiza nijiunge. Hukulu wino
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Am so honoured to be welcomed to this EQUITY community that seems to be well focused.I feel that am a member!Thank you n God bless u all.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanajamii nimekua mtembezi hapa muda nimeshindwa kujibana sasa naingia ndani. Jamii motooooo!! nipokeeni jamani!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
In God we trust naomba munipoke kama mgeni wenu. Thank You all
0 Reactions
11 Replies
1K Views
naombeni ukaribisho japo wa story tu na mlo nikale kwetu..
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Siku nyingi nilitamani nike hapa javini niwe nanyi wakuu.kwa namna ya pekee nashukuru sana kuwa sasa nipo nanyi.nawaombeni ushirikiano wenu plz wake kwa waume,vijana kwa wazee
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom