Salaamu kwa wanajamii wote

lupasulwisye

Senior Member
Sep 5, 2012
104
21
Mimi nimejiunga hivi karibuni na jf.ni tumaini langu kuwa mwanachama mzuri nitakayetumia uelewa wangu katika kushirikiana nanyi wenzangu hasa katika kipindi hiki cha mageuzi yanayoendelea hapa nchini tanzania.
 
Karibu sana! Ngoja Babu aspirin aje kuku kagua!

Kama una tatizo lolote kuhusu maswala ya kisheria utanibip!
 
Lawyer!
Ufafanuzi pls , ina maana Babu ni unisex ?
Anakagua gender zote ?
Kama jb ni siyo , huyu newcomer ushaijua gendar yake ?
 
Kwahiyo kazi yako ni hyo e?
Unasubiri wageni wakubip?
Sasa subiri nitoke huku utanitambua.

tafadhali wangu usinipe adhabu ya jana!

Nimesahau kumwambia mgeni we nina! Mh mgeni huyu ni ma sweetie Madame B wa ukweli, hauruhusiwi kumsogelea!
 
Lawyer!
Ufafanuzi pls , ina maana Babu ni unisex ?
Anakagua gender zote ?
Kama jb ni siyo , huyu newcomer ushaijua gendar yake ?

ukaguzi hauangalii gender!

Kama ni me atakaguliwa mavazi na swaga alizo kuja nazo!
 
tafadhali wangu usinipe adhabu ya jana!

Nimesahau kumwambia mgeni we nina! Mh mgeni huyu ni ma sweetie Madame B wa ukweli, hauruhusiwi kumsogelea!

Ugua pole Kiongozi !
Hapo uzoefu unanifahamisha vifungu vyote vya Judiciary hua havifanyi kazi !
Napata image ya Slice iliyotumbukizwa kwa Tea!
 
Mimi nimejiunga hivi karibuni na jf.ni tumaini langu kuwa mwanachama mzuri nitakayetumia uelewa wangu katika kushirikiana nanyi wenzangu hasa katika kipindi hiki cha mageuzi yanayoendelea hapa nchini tanzania.
Karibu sana.
 
Back
Top Bottom