Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
habari zenyu wakuu,am new here
0 Reactions
2 Replies
716 Views
Wadau habari za leo ? Natokea pande Kaskazini Arusha, nikaribisheni wadau.....
0 Reactions
2 Replies
776 Views
Mamboz wana jf
0 Reactions
2 Replies
650 Views
najitambulisha rasmi. ni mimi GX110
0 Reactions
3 Replies
757 Views
ni furaha kubwa nilio nayo ku-join na nyinyi hapa jamvini...naomba kupokelewa.Nadhani sina haja ya kutoa CV yangu hagdharani, day goes tutajuana vizuri..hodi hodi!!!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
893 Views
Naingia na mimi kujumuika nanyi kimawazo kwenye jukwaa hili
0 Reactions
4 Replies
869 Views
Hello members wa JF. Nimekuwa mtazamaji wa hoja mbalimbali kwenye hili jukwaa kwa mrefu na nimevutiwa sana na mambo mbalimbali yanayojadiliwa humu. Hivyo nimeona na mimi nijiunge ili nijumuike...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Niaje wakwe2 ng'abo ni new user anaomba karbu yenu
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa Waislam "Asalam Alaykum" Wakristu "Praise the Lord" Wapagan mpoooo?? Jamani mie ni mgeni humu ndani, Kwanza mnisamehe, kabla ya kujiunga Jf, nlikuaga nasoma Post zenu bureburee...! Pili...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hi to all wana Jamii forums, nimependa sana hii blog na natumai tutakuwa wote pamoja.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi salaam,mgeni nimeingia leo,naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
7 Replies
814 Views
Wanajamii Tafakar kali nimeingia sasa kwa mada mbalimbali za kuvuta hisia hasa maeneo ya siasa,na jamii hapa ndo maala pake, hoja za watu wa kawaida kitaa na mitazamo yetu uswazi,hapa huta...
0 Reactions
4 Replies
748 Views
Ninafuraha kujiunga nanyi wana jf! Naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
7 Replies
849 Views
Nimekuwa mpitiaji kitambo!! Na sasa nimekuja rasmi! Naomba ushirikiano wenu wadau wenzangu! Thankx!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu new user mie tusitupane
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi wana jamii forum
0 Reactions
2 Replies
849 Views
wacha na mie nije humu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu mana jamii forum
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jaman wana Jf ,kwanza napenda kuwasalimu wadogo, ni aje? Na kwa wakubwa shikamoni! Nimejarbu ku log in kwny Jf kwa takrban mwaka mzma lkn imeshndkana ,cha ajabu leo imekubal na kila ki2 nmekiona...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Dear all jf members, i am really happy to join you, kindly accept my join. I like interactoin of the site and promise to make positve contributions on different subjects.i hate lies and...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom