Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi humu jamani,Mimi mgeni naomba kukaribishwa.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
mimi mgenI humu
0 Reactions
3 Replies
880 Views
Wenyeji, nawafahamisha kuwa mna mwana JF mgeni, naomba ushirikiano!
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamn wana JF hope mko poa wote...nikwamba am from far jmn jf imenitoa mbali...nipokeeni tuendelee kushare changamoto na muendelezo wa maisha
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimekuja tu kutoa salaam kwenu nyoote wanajamii humu ndani. Mie ni mgeni humu, Tafadhali nipokeeni !...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wa Jamii forum,naomba mnipokee niwe mmoja wa familia yenu tufundishane,tuelekezane na pia tupeane maarifa mapya kwani naamini Jamii forum ni kisima cha maarifa
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ninaitwa Rehema Chahe, ni mgeni humu ni matumaini yangu nitajifunza mengi kutoka kwenu na mtajifunza mengi kutoka kwangu, Baraka za Mungu ziwepo nanyi, asanteni.
2 Reactions
2 Replies
517 Views
Hodi! Mimi mgeni humu ndani naomba nikaribishwe. Nimekuwa nikifuatilia JF kwa juu juu na sasa rasmi nimeamua kujiunga ili kushiriki na tuendeleze umoja na mshikamano wetu kama waTanzania [emoji1754]
1 Reactions
12 Replies
811 Views
Habarini wote , me ni mgeni humus ndani ila nimekuwa nikufiatilia madam mbalimbali , nimejiunga rasmi kwa kuwa napata madini ya maana humus. Kwa ufupi naipenda mno Jamii forum. Kwani ninajifunza...
1 Reactions
7 Replies
836 Views
Wakuu ndo natia maguu Jf Sina cha maana sana zaidi ya kusema inafurahisha sana kutumia mtandao wa kijamii wa hapa nyumbani TZ
1 Reactions
4 Replies
456 Views
Hi
1 Reactions
9 Replies
998 Views
Hii username ni mpya hapa Jukwaani. Kwa Mara ya kwanza nafanikiwa ku create thread ya kwanza. Nawasalimu wakuu. Asante Kwa kunikaribisha
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Me mgeni naombeni mnipokee na naomba mwongozo
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika uboraa wa jf nimependa kujiunga baada ya kuwa mfwatiliaji wa jf kwa Muda wa miaka 3 mpaka leo hiii
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Inakuaje humu Chuga tunasemaga inakua nn fas ya huku
1 Reactions
3 Replies
725 Views
Habari.napenda kuwasalimia na kuomba ushirikiano wenu kwa jambo lololote lile.Asanteni[emoji120]
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni msomaji mzuri wa JF,hodi naomba kuingia.
1 Reactions
7 Replies
877 Views
Mm kijana mpole ila mtundu naomba mnipokee kwenye hii jumuiya ya great thinkers.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Helllow
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Asalaam
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…