Petronfrancis JF-Expert Member Dec 21, 2012 329 130 Apr 6, 2016 #5 R.P.G said: Hodi humu jamani,Mimi mgeni naomba kukaribishwa. Click to expand... Karibu sana sema una shida gani
R.P.G said: Hodi humu jamani,Mimi mgeni naomba kukaribishwa. Click to expand... Karibu sana sema una shida gani
Petronfrancis JF-Expert Member Dec 21, 2012 329 130 Apr 6, 2016 #7 R.P.G said: Na shida ya kuwa mwanachama wa jf Click to expand... Karibu sana umefika mkuu
T Tate Shebughe JF-Expert Member Jan 4, 2016 324 264 Apr 7, 2016 #9 karibu sana kwenye jamii ya watu mchanganyiko.
money bag JF-Expert Member Jan 15, 2016 373 298 Apr 7, 2016 #10 Ole wako ulete hoja za hovyo hovyo tunakotoa tunataka hoja zenye mashiko kwa maslahi mapana ya mama Tanzania
Ole wako ulete hoja za hovyo hovyo tunakotoa tunataka hoja zenye mashiko kwa maslahi mapana ya mama Tanzania
Vvip Senior Member Apr 7, 2016 190 84 Apr 7, 2016 #11 Karibu mgeni mwenzangu ila mbona unaingia na RPG??????
K Kchibo Member Oct 17, 2011 76 11 Apr 9, 2016 #12 karibu mr rocket propelled grenade.. Angalia tu ucje tumika vibaya kulipua wasokuwa na hatia..
Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 30,771 12,699 Jun 3, 2022 #13 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.