karibuWenyeji, nawafahamisha kuwa mna mwana JF mgeni, naomba ushirikiano!
Wenyeji, nawafahamisha kuwa mna mwana JF mgeni, naomba ushirikiano!
Ndiyo nini "ngo ngo" ...haaha ha ha,,,Ahsante!
Aah amakweli ishi ujione ?!! sasa hakuna bell hap au kengele ?!!!!Mlio wa kugonga mlangoni, kama mpiga hodi! Haha natumaini umenipata
Sasa mie nikija hapo kijijini nipige honi ya gari ? peeeeeeeee peee peeeee!!Hapo ni hodi ya kijijini kwetu!
Nami ntawapakia mmoja mmoja niwafurahishe hapo....Kijiji kizima watu watatoka!!
Wenyeji, nawafahamisha kuwa mna mwana JF mgeni, naomba ushirikiano!