Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mimi ni mgeni humu! Nimejiunga rasmi leo baada ya kuvutiwa na mijadala ya jukwaa la mahusiano pamoja na jukwaa la siasa! Jinsia yangu n ME
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana jamvi.. Km kichwa kinavyojieleza apo juu,nimekua mfuatiliaj wa mda mrefu juu ya mijadala mbali mbali,hivyo nimeona nami nijiunge nanyi ili nipate kuelimika na mambo mengi yanayojiri...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Mambo vip
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mie ni mgeni ndani ya jf,,naombeni ukaribisho wenu.
0 Reactions
11 Replies
859 Views
nawasalimien wana-jf... nmekua nkitumia jf kwa MdA mrefu sana km msomaj tu lkn sasa am a new jf member
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hoji jf. Baada ya kuingia mjini week iliyopita rasmi naomba niungane na ninyi. Wanaume wa dar salam habari zenu. Kuanzia leo rasmi mimi ni mwanaume wa dar. Asikuambie mtu kuwa mwanaume wa dar ni...
0 Reactions
19 Replies
926 Views
Habari zenu wana jf mm ni mgeni humu naombeni mnipokee.
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari thenuu wanajukwaa Nilikua nachunguliaga tuu ila now nmeingia rasmi jukwaani, naombeni mnipokee
0 Reactions
17 Replies
971 Views
Jamani hodi humu ndani je nakaribishwa?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Heshima kwenu nyote naomba mnipokee.
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni humu ndani jamani, nilipata shida kidogo kujiunga na kutambulika kama member kamili lakini hatimaye nimejiunga. Nikaribisheni ndugu zangu[emoji120]
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Ndio kwanza nasiku moja humu sio mbaya mkinipokea kwa mikono miwili na kunipa maelekezo zaidi ya humu ASANTENI
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni, nimejiunga leo. Nilikuwa naomba support yenu. Nawapenda woote humu ndani. Naomba kujuzwa sheria kama zipo. Mimi ni jinsia ya KE.
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF?? Naomba ushirikiano wenu humu JF
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari zenu Sana jf me Ni mgeni huku tafadhal naitaj support yenu
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya kuzungusha gurudumu LA maendeleo. Naomba kukaribishwa
0 Reactions
3 Replies
724 Views
Hi guys me mgeni humu naomba mnipokee nahitaji ushirikiano wenu ,nawapenda saaana
5 Reactions
68 Replies
4K Views
Naitaji ushirikiano wenu
2 Reactions
10 Replies
975 Views
Mimi ni mwana jf mgeni humu, kwa nia ya dhati kabisa naombeni ushirikiano wenu na nina ahidi kuwa mwadirifu kwa kuzifuata sheria za jf pia kuwaheshimu wote. kwa jina naitwa TIZO ZIHABANDI ASANTENI
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hodi waungwana naomba mnipokee humu jamvini.
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Back
Top Bottom