Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
nipokeeni
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Nafuraha kuwa mwana familia hapa JF,nategeamea ushirikiano kutoka kwa wote kwa manufaa na maendeleo kwetu sote.
0 Reactions
4 Replies
822 Views
Nimekuwa nikisoma mada nyingi na zenye mafundisho kupitia jukwa hili nimeshawishika kujiunga nanyi rasmi wandugu.
0 Reactions
4 Replies
757 Views
Hellow
0 Reactions
4 Replies
777 Views
Shikamoni wakubwa, wadogo zangu marahaba...Nimechoka kuchungulia madirishani, leo nimeona niingie baada ya kugundua hapa ni nyumbani. Awali niliona Mwanahalisi limefungiwa...Mwananchi na Mtanzania...
0 Reactions
4 Replies
901 Views
hodi jamani humu jamvini!ni matumaini yangu tutashirikiana katika hoja mbalimbali ili kutafuta suluhu juu ya maswali kadha wa kadha yanayotutatiza watu wote!
0 Reactions
4 Replies
892 Views
Habari za asubuh wandugu mi ni mgeni ndio nimejiunga leo kwa heshima na taadhima naomba mnipokee kwa mikono miwili ni hayo tuuu,,,nawatakia siku njema na asubuh njema
0 Reactions
4 Replies
918 Views
Habari wana jamii, ninafuraha kubwa kujiunga rasmi naiJF home of great thinkers kwa muda mrefu nimekuwa naingia kama guest, kwa kifupi nimepata faida nyingi sana kwa mada zenu mahususi. Ni...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
ndio nimeshaingia..mh mbona pako kimya sana?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello hello Wanajamiiforum. Ninabisha Hodi tena kwa mara nyingine. Nilikuwepo miaka ya nyuma ila niliondoka kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. It is my expectation that all of you will say...
0 Reactions
7 Replies
785 Views
Nipo mbali nanyi kimwili, lakini nipo karibu nanyi kifkra. Naingia uwanjani. Wasaalaaaaammm...
0 Reactions
4 Replies
919 Views
Hodi wanajukwaa. Wakubwa shikamoni, wenzangu habari ya sasa hivi, wadogo hamjambo.
0 Reactions
6 Replies
924 Views
Nadhani ndugu zangu tunajua kwamba bila umoja hakuna litakalowezekana katika haya maisha na sidhan kama nijambo la busara kufikiria kuvunja muungano wetu..Nadhani ndio sababu ya Muumba wa dunia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
New
Hello friends
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Bonjour Jf Nimekuwa nikifuatilia mijadala kede wa kede kupitia jf,nimejifunza mengi out of it,so nikaona its worth to be an active member.... Merci JF
0 Reactions
5 Replies
696 Views
hodi hodi members naomba mnipokee.
0 Reactions
4 Replies
872 Views
Hellooo!! Ma ' Great thinker nami naja sasa the bigest thnker
0 Reactions
4 Replies
670 Views
I am member
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari zenu
0 Reactions
6 Replies
759 Views
Ndugu zangu wa jamii forum nimevutiwa na uelimishaj wenu wa kila siku nimeamua kujiunga baada ya kuona nakosa huondo wa kuchangia ni mekuwa nikisoma makala mbalimbal kama za siasa habar...
0 Reactions
7 Replies
950 Views
Back
Top Bottom