Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nikaribisheni mie mgeni tuwe pamoja
0 Reactions
5 Replies
800 Views
Me mgeni jamani nahitaji marafiki waku chart popote walipo na jinsia site,me nipo mwanza wakuu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hodi humi
0 Reactions
3 Replies
634 Views
Hello wana Jf naomba kujitambulisha plz .......
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hoooodiiiiiiii wa MMU
0 Reactions
8 Replies
871 Views
Habari zenu,leo nimeamua kujiunga siku zote nilikua mpita njia wa kupitia topics za humu. Naomba mnipokee.
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu kama mjuavyo me mgeni humu so naombeni mnipe muongozo jinsi ya ku-pm. Mwakora waiutu.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nami napenda kutoa shukrani kushawishika kuingia huku nafurahi kuwa nanyi nawapenda jamani
0 Reactions
3 Replies
912 Views
Wakuu ni mda mrefu sana nimekua mtazamaji tu nje ya uwanja huu wa fikra pevu, sasa naomba namba tucheze wote wakuu, naamini zaidi katika NGUVU YA HOJA na sio ushabiki tu! asanteni sana...
0 Reactions
4 Replies
709 Views
hodi wapendwa, hope mko poa.... me ni mgeni humu nategemea ukarimu wenu. Ahsanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa guest user kwa mda mrefu ila yamenishinda. Nimejileta mwenyewe mzima mzima. Naombeni mnipokee jamani
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hodi wakuu. mie mgeni wenu naombeni mnipokee. akhasenteni
1 Reactions
6 Replies
1K Views
wana jf,mi ndo kwaanza mgeni!naomba kukaribishwa wajameni,.nizoee mazingira kidogo.
0 Reactions
7 Replies
802 Views
Mie mgeni
0 Reactions
5 Replies
880 Views
Habari za hapa jamani mi ni mgeni wenu naomba mnipe guidance.Ahsanteni sana nawatakia siku njema
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi... wadau wa majukwaa.
0 Reactions
4 Replies
876 Views
jamani wenyeji hodi kidogo..jamani wana jamii hodiiiiiiiiiiiiiiiiii......
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jaman mwenzenu mgen japo nilivyoingia ni siri ya kambi,nikaribishen.
0 Reactions
7 Replies
951 Views
Mamboni zenu humu Daaah! mi mgeni humu Naomba ushirikiano wenu wapendwa
0 Reactions
6 Replies
693 Views
Wadau habari zenu za leo? Baada ya kuwa mtazamaji kwa muda mrefu tu(nilikuwa guest user) tangu nione hii kitu ofisini kwa jamaa yangu basi leo nimeona nijiunge rasmi ili niweze kuchangia na pia...
0 Reactions
3 Replies
922 Views
Back
Top Bottom