MADHARA YA NYAMA DUNIANI Nyama unayokula huchafua/haribu na kudhuru kwa kiwango cha juu ambacho hakikufahamika katika historia ya mwanadamu. Katika mwaka 1906, Upton Sinclair aliandika: Hii si...
Nilikuwa member tangu mwaka 2011 account yangu ikawa inatumiwa na mtu mwingine anaingia jukwaa la siasa na kuharibu hali ya hewa nimekuwa nikifuatilia mambo yanayoendelea humu kwa muda mrefu sasa...
Nawasalimu wote na mahali mtokapo, kwa wapare nawaambia Kishi, kwa wasukuma Nyoo, kwa wahaya emana, kwa wachaga Mbatu, kwa wamasai chabo nk
wanajamvi hii ni mra yangu ya kwanza kuja huku hivyo...
Jamani nilikuwa nafuatilia JF kupitia kwa jirani, sasa naona wakati mwafaka wa mimi kuomba kushiriki kupasua vichwa pamoja na kuendelea kujifunza pamoja!
Mambo vipi wageni karibuni sana kwenye huu mtandao.Ili uweze kukaa vizuri humu unashauriwa kupitia sheria za humu kwanza.Pia unatakiwa kutumia lugha ya heshima na adabu ambayo siyo kero kwa...
Baada ya kipindi kirefu kuwa nachungulia jf na kuishia sebulen nimeona ni vyema sasa na wakati muafaka kuingia mpaka chumban.
Naomba mnipokee na kunikaribisha waungwana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.