Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari wakuu wa humu! Naombeni mnipokee kwa mikono miwili mimi mwana mpotevu!
0 Reactions
5 Replies
880 Views
hodi humu ndan wajamen
0 Reactions
5 Replies
930 Views
Baada ya kuchungulia kwa muda mrefu nimeona ni vyema ni join rasmi. Je mnanikaribisha?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kukaribishwa niwe miongoni mwenu.
0 Reactions
5 Replies
790 Views
hello guyz, am Happy to be here
0 Reactions
5 Replies
846 Views
I am Mimi alone...naombeni mnipokee na tushirikiane kwa mawazo na hoja mbali mbali.Asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi
its gyn-ab. Lets meet there.
0 Reactions
6 Replies
848 Views
Waheshimiwa wana JF, hapa ni mwanachama mpya katika kuendeleza forum hii. Asanteni Sana
0 Reactions
4 Replies
807 Views
Naomban mnipokee ,nakunielekeza njia
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari Wadau Mimi Tatizo Langu Kila Ninapo Ingia Jf Nakutana Na Maneno Haya Hapa"the Forum And Server Timezone Have Been Corrected As They Were Set Correctly In The Imprope Time To You The End...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Popote tutakapo onana msishtuke, mimi ni member mpya mzoefu(you know what i mean?) Mi ndio supu ya mawe
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapendwa mimi mgeni natafuta wenyeji wa humu ndani
1 Reactions
7 Replies
804 Views
mtu mzima wal c kipc nipo ndan ya jf.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana Jf
0 Reactions
4 Replies
788 Views
Naingia ktk hili bunge la watuuuu woooooote il a MWENYEKITI SIMJUI ILA SHERIA NIMEZIKUTA NINANI ALIE ZIPITISHA NA IDAD YA WAJUMBE NI WANGAPI...
0 Reactions
5 Replies
974 Views
wanajamvi salama? nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala hapa jamvini, nimevutiwa nayo na nimeona nami nishiriki kulisukuma hili gurudumu! niko tayari kwa muongozo.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu wana JF after a long wait BabyDiana is in now. Hope mtanipokea na tutakwenda sawa kwa hoja zenye mashiko na jokes za hapa na pale.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hodi hodi wana forum.naomba mnipokee.
0 Reactions
8 Replies
963 Views
Mie sijambo. Bila shaka na wewe pia. Nitafurahi kufahamu khali yako. Wasalaam
0 Reactions
6 Replies
910 Views
Hodi hod wenyeji
0 Reactions
5 Replies
892 Views
Back
Top Bottom