Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
hlw jf memberz,,,am a new member
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani nimeingia JF mwaka huu, naomba mnikaribishe wana JF.
0 Reactions
6 Replies
969 Views
Jamani naomba mnipokee.
0 Reactions
7 Replies
892 Views
I Like mind sharing n watu wote
1 Reactions
5 Replies
894 Views
mimi bado mgeni sijui hata jinsi ya kutumia hii j,f ila kwa kuwa sisi watanzania tuna la kujivunia ni umoja tulionao sisi watanzania kukosea ndiyo kujifunza kwa siogopi hii j.f ni yetu sote tusio...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima , kuiona siku hii muhimu; tunapoadhimisha miaka 50 ya Muungano wa nchi yetu - TANZANIA. Mimi ni mgeni...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
mimi naitwa Joseph Andrew kutoka Mwanza na pia ni mwanafunzi kutoka chuo cha sayansi na tiba cha bugando nipo mbele ya jukwaa hili kama mgeni kwa hiyo naombeni mnipokee. Assnteni
0 Reactions
6 Replies
921 Views
Mm ni mwana Jamii mpya...Napenda kushirikiana nanyi waungwana
0 Reactions
5 Replies
743 Views
Naomba kuuliza sababu za baadhi ya wanawake kuugua sana tumbo wakati wa siku zao mpaka kupelekea wengine hata kuzimia.
0 Reactions
7 Replies
964 Views
Hi.wana jfm.hodi humu.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Baada ya kuifuatilia muda mrefu kama "mgeni" nimeona leo ni wakati muwafaka wa kujiunga na forum hii. Mlio wazoefu napenda mnikaribishe Daniel Zwangendaba
1 Reactions
4 Replies
806 Views
Kwa upele, dhati na heshima naomba mnifungulie mlango niingie, nina mateso ya kila aina....! wezangu wengi nimewaacha huko nitokako, Igawa nao wameniagiza kuwaambia kuwa wapo njian wanakuja kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
naomba nifunguliwe mlango niingie mi mgeni wenu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hodi humu ndani
0 Reactions
8 Replies
974 Views
Mie mgen
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kupokelewa jukwaani wadau. Asanteni
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari zenu wana jamii forum napenda kujitambulisha kwenu mm ni mgeni humu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodii wenyeji!! Mi nlisahau kujitambulisha jamani...nimejiunga mwaka huu!! Naombeni mnikaribishe! Nawapenda.!
0 Reactions
7 Replies
986 Views
Naomba kuwa miongoni mwenu wapendwa!!
0 Reactions
7 Replies
899 Views
Nipokeeni na mimi niungane na GT.
0 Reactions
5 Replies
704 Views
Back
Top Bottom