Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nimekuja na id hii kwa malengo maalum humu ndani Anyway nikaribisheni tu maana nimekuwa nanyi for 3 years now. Shukran sana
3 Reactions
12 Replies
810 Views
Najitambulisha kwenu Wana JF Mimi ni LIMBALANGULE ni mgeni humu naombeni ushirikiano wenu.
2 Reactions
7 Replies
605 Views
Hellow.....nikaribisheni mgeni wapendwa
1 Reactions
17 Replies
890 Views
What up yooo
3 Reactions
9 Replies
487 Views
Hello, Mimi mgen humu....naomben kujuzwa huu mtandao unavyofanya kazi. Asante
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Hamjambo wanangu wazuri Mama yenu nimekuja humu kwa lengo moja tu la kutafuta wateja wa bidhaa zangu nipokeeni wanangu na naomba ushirikiano wenu wanangu wazuri
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari members wote humu, naitwa Emmanuel wa Arusha, me mgeni humu ndani. Nimelipenda hili jukwaa, lengo likiwa ni kubadilishana mawazo nanyi pamoja na kujifunza kutoka kwenu.
2 Reactions
7 Replies
746 Views
Mimi naitwa chipkizy aka hotxun nimekuja kupata elimu bora kutoka kwenu Asante
1 Reactions
4 Replies
802 Views
Jamani wanajamvi mi ni mgeni ninaomba tushirikiane sote katika mijadala, mahojiano, maswali na matukio ya kila siku ya kitaifa na kidunia. Salamu kwenu nyote.
2 Reactions
23 Replies
2K Views
MI NI NEW MEMBER. NIPOKEENI.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar zenu wapendwa jina ni Betty Steven.
3 Reactions
12 Replies
864 Views
Kwanza nitangulize samahani na pia wasinichukulie vibaya wahusika wa jamiiforums. Kikubwa ni kutaka kujua ni kivipi mimi naweza kufaidika na kuwa katika huu ukurasa je kuna reward yoyote naweza...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Naitwa Shabani Waziri Mnkai, naomba mnipokee. Ni Mwalimu wa lugha ya Kingereza pamoja na Mwanasaikolojia. Naishi Dodoma, Nala, Tanzania.
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi mimi ni mgeni, ninaomba support na cooperation kutoka kwenu
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Natanguliza Salamu kwenu wana jukwaaa..
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu nilipotea kitambo sna sasa nimerudi lkn natumia account mpya sasa ile ya mwanzo nilisahau pasward so naomba ushirikiano wenu[emoji120][emoji120]
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Naombeni ushirikiano wenu by the way tupo pamoja
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kaka na dada zangu, Baba na mama zangu, Bibi na babu zangu, Wajomba na Mashangazi zangu, Wadogo zangu wote. Heshima kwenu. Mimi nimejiunga hapa jf baada ya kusoma kama mgeni kwa muda kidogo...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Habarini wapendwa. Naomba mnipokee members. Asanteni, naimani tutakuwa pamoja
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakubwa kwa wadogo Leo nimeona RASMI inanibidi kujiunga na jf kwa ajili ya kuzidi kujifunza mengi zaidi na kuburudika . Naomba ushirikiano kutoka kwenu[emoji120]. Shukrani za pekee ziende kwa...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…