Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari wana jamii, mi ni ndugu yenu mpya, naomba mnipokee Lakini pia ni job seeker, kwa yeyote mwenye connection ya kazi au anaweza kunisaidia kwa namna yeyote naomba tuwasiline.
1 Reactions
8 Replies
639 Views
Nimekuja mnipokee
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Hellow am a new member apa JF ...nmependa kujumuika na nyie.
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Jamiiforums ndomara yangu ya kwanza kujiunga Naombeni mnipe ushirikiano jamani. Bado sijaweka avatar yangu ila nikipata nitaweka, nitakuwa msomaji mzuri wa kila jukwaa japo jukwaa la siasa...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Enzi hizo nikiitwa Mzee wa kupokea Thanks, kwa siku hizi ningeitwa mzee wa kupokea 'likes'. nilipotea kidogo lakini nimeona leo sikukuu, si vibaya nikapita kuwasalimu hasa wale ma Legend...
4 Reactions
3 Replies
749 Views
Habari zenu wakuu, naitwa Dawa ya wajinga mimi mgeni JF naombeni mnipokeee Nimeipenda sana JF kutokana na uhuru wa mawazo usiyokwaza watu. pia nimeona raisi na supika wanapita humu sasa mimi ni...
4 Reactions
15 Replies
936 Views
Mimi ndimi "msamalo village" member mpya katika jukwaa hili naombeni ridhaa yenu kuwepo nanyi humu ndani.
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Afro Super Bags ni wauzaji na wasambazaji wa mabegi ya aina mbalimbali, mabegi kutoka China, Uturuki, India, Kenya na hapa Tanzania. Tuna mabegi ya aina mbalimbali kama School 🚸 Bags, Sport...
1 Reactions
2 Replies
553 Views
Me mgen wakuu
1 Reactions
5 Replies
527 Views
Mimi mgeni nipokeeni jukwaani
2 Reactions
13 Replies
879 Views
WASALAAM,MIMI NI MEMBER WA UMU SEMA ACCOUNT YANGU ILIZIMA....
1 Reactions
10 Replies
818 Views
Member mpya, hope all is well. Tushirikiane pamoja [emoji179].
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Happy to join the team
5 Reactions
11 Replies
647 Views
AGE: 25 SEX: MALE TRIBE: Zigua RELIGION: Muslim M. STATUS: Single EDUCATION: Bachelor Degree (MZUMBE) PROFESSION: Human Resource Management LOC: Yombo DSM EMP. STATUS: Unemployed NB...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Wazima humu?
1 Reactions
8 Replies
491 Views
Denis kutoka Ukerewe-Mwanza, ahsanteni wote kwa kuwa sehemu ya familia ya JamiiForum
2 Reactions
10 Replies
599 Views
Hello ndugu, am new here. Naombeni ushirikiano. Hope nitajifunza mengi pia nitatoa mafunzo kwa wenzangu. Asanteni
1 Reactions
11 Replies
667 Views
Wadau nasawalimu sana.
1 Reactions
4 Replies
409 Views
Hodiii...naomba nijiunge kwenye hii familia, tafadhali!
3 Reactions
14 Replies
922 Views
Hello, JF mi mgeni napenda kujumuika nanyi nipo mbagala mbande dsm [emoji120][emoji120]
1 Reactions
11 Replies
739 Views
Back
Top Bottom