Hello nimerudi tena jamani naomba mnipokee tuendelee kujumuika pamoja

Nyatyo

Member
Sep 21, 2017
68
51
Habari wakuu nilipotea kitambo sna sasa nimerudi lkn natumia account mpya sasa ile ya mwanzo nilisahau pasward so naomba ushirikiano wenu
 
Habari wakuu nilipotea kitambo sna sasa nimerudi lkn natumia account mpya sasa ile ya mwanzo nilisahau pasward so naomba ushirikiano wenu
Karibu tena JF jitahidi na hii usiisahau tena nywila yake
 
Mkuu, Kwanza nikupe pole!
Kwa hizo trophy point 20 post zako zitakuwa viewed na watu si zaidi ya 50 na replies 3 tu kwa mwezi mzima! Pole sana!
 
Back
Top Bottom