Hapo juu ni jina langu halisi,
Wapendawa wenzangu, mimi ni mgeni katika page hii, ila napenda kuwa pamoja nanyi kawakuwa nimependezwa na habari zinazopatika kwenye mtandao huu, pamoja na lunga...
Hello!
Napenda kukaribishwa kuwa nanyi humu katika kuchangia masuala tofauti tofauti yahusuyo jamii yetu na ya Dunia yote. Nabisha hodi, mnikaribishe tafadhali.
Nawasilisha!
Natumaini
wote ni wazima wa afya. Ndg zangu, wakubwa wangu bila kuwasahau wadogo zangu, mimi ni mgeni hapa JF, nawaombeni mnipokee kwa mikono miwili...ahsanteni!
Habari wanajamvi, naomba kupokelewa humu jamvini kwani mimi ni mgeni. Naahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wadau wote. Nawatakia shughuli njema za ujenzi wa Taifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.