Nimekuwj nikifuatiria sana mijajara mingi sana humu .kiukwel huwa na enjoy sana.nashukuru leo nimepewa fulsa ya kujiunga nanyi naombeni mnipokee.NAWAPENDA NYOTE
Hatimaye nimefanikiwa kujiunga na JF baada ya kujaribu mara nyingi na kufail,nina iman wanajf mtanipokea kwa furaha member mwenzenu kwan JF ni kisima cha maarifa na busara,ahsante na Jioni njema.
Salaam Great thinkers, Mimi ni mgeni humu ndani,naomba mnipokee,nimekuwa nikiingia Kama mgeni kwa muda mrefu lakini nimeona sio mbaya nami nikijiunga, na JF, naomba kuwasilisha.
Hoooooodi!mnikaribishe mie mgeni jamani.
Afu uzuri wa ugeni ni kuwa unapewa vitu vizuri vizuri, chakula kizuri sehemu ya kulala nzuri na maongezi mazuri mazuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.