habari zenu, bila shaka m
kopoa ila baada ya utambulisho ninaomba mnisaidie ni njia gani nitumie ili niweze kutuma maombi ya kazi kwa njia ya email/mtandao maana sijui hata kidogo naomba msaada...
Wasalaam wakuu!
Jamiiforums kwangu ni kama wikipedia ya bongo nilikua napita juu kwa juu sasa nimeamua kudumbukia kabisa ili niweze kuchangia na kuchangiana mawazo na wanajamii wenzangu wenye...
Mtu Makini Kwenye Mahali Makini. Nipo mda mrefu Sana na ninafurahia kuwa humu ndani nanyi nyote. Mbarikiwe Sana na Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. Amina
Heshima zenu wakubwa zangu, mie ni mgeni katika jukwaa hili, naomba mnipokee katika kujuzana na kuelimishana katika mambo yanayotutokea sisi wenyewe na ulimwengu kiujumla.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.