Nimevutiwa na makala zenu zinazofundisha, kuhabarisha na kuelimishwa.
tuko pamoja kuanzia sasa, nimewasoma!!
Jamani ugeni tabu nimeingilia mlango wa nyuma badala ya wa mbele! kumbe hii ndo sehemu muhim ya kupiga hodi naomba mnikaribishe jinsia yangu ni mwanaume.
karibu sana kijewa! na hongera kwani ushafika jf ndani ya behewa! karibu tena ufurahie hewa! vidole kauli ndo silaha ulopewa! tumia vyema na pasofagilika tumia chelewa! chimba na panda uwezalo jembe tayari ushapewa! joto ulionapo vua shati jikaze kwani ukisubiri kiyoyozi utachelewa! tuko wengi wa kupepewa twakutegemea Mtolewa! Ingiwa na mabawa we si kinda wa kuletewa! karibu shujaa tusije uwawa! ewe ndo simba wa vita kama kawawa! karibu kijewa!