Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ni mmoja kati ya watu wanao itakia mema jf naomba kukaribishwa.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya muda mrefu kufuatilia mijadala ndani ya JF... Sasa nimeamua kujiunga nanyi tujumuike pamoja. Wadau wa michezo tutakua pamoja hasa washika bunduki wa Ashburton Groove
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Habari wadau mie mgeni pande hii
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hodi humu wana jfo mpo? Namefurahi kujumuika nanyi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodi wadau, mimi ni mgeni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Hello jf!mimi ni mgeni humu
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Nimejiunga hivi karibuni wapendwa!!! Lkn daaaah!! Pamoja na kukaa na pc muda mrefu nimeshndwa kuandka new post lkn NIMEWEZA KWA KATECNO KANGU!! Nategmea makaribisho memaaaa!!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kweli ninajifunza mengi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hodi wana jamvi naombeni mnipokee rasmi ili tujumuike pamoja kwenye mchanganuo wa hoja
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Napenda up to date issues
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Naomba mapokezi yenu ili tujumuike pamoja katika kulijenga taifa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kuwa member nikiwa nje ya Jamvi kwa kipindi kirefu, kwa heshima naomba kuungana na wanajamvi ili kuwakilisha na kuchangia mambo ya msingi yanayo tuzunguka katika jamii. Asanteni wakuu.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hello wana jf mimi mgeni jamani kwa hiyo nikikosea naitaji kurekebishwa ahsanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nafurahi kujiunga nanyi naomba tuwe pamoja.
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Mimi ni mgeni humu ndani...naombeni mnipokee nmekua nikiadmire contributions za wachangiaji tofauti tofauti na vile vile nimekua dissapointed marta nyingine na baadhi ya comments lakini ni...
1 Reactions
4 Replies
976 Views
mgeni wenu wakuu
0 Reactions
4 Replies
785 Views
habarini wenyeji hope mmeshnda poa ila kwa wale wenzangu poleni na swaumu.. daah! ila nimechoka kweli nimebeba mafurush yangu yote nimehamia humu ndani nikaribishen jamani hata kwa miguu ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hodi hodi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mda mrefu nimekuwa nikielimika, kuburudika, kuhuzunika, kushangaa na kupanuka kimawazo kutokana na mijadala tofauti tofauti ya ndani ya JF. Natowa tamko sasa kuwa nimejiunga rasmi ili kuwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom