Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nimekuwa msomaji siku nyingi sana, leo nimeona nijiungie rasmi. Hilo ni jina langu halisi, naomba nijulisheni ni vipi linakuwa verified?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimekuwa nikichangia mara mojamoja kwenye baadhi ya thread kwenye majukwaa mbalimbali ya jf naomba mnikaribishe mwenzunu jamani wana jf hodi!!
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wenyeji nimekuja tushiriki pamoja katika mada mbalimbali, ni mgeni tusaidiane kwa yale ambayo nitaona mapya nisaidiwe kuelekezwa kv, kuna neno uni PM sijui maana yake, nilikutana na neno hili kwa...
0 Reactions
5 Replies
965 Views
Hodi hodi wana jf,
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani mi ni mgeni humu ndani naomba mnipokee
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa Me mgeni humu naomba mnipokee
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mi pia mpya ndio kwaanza nimejiunga Leo,ila kuna post nimezipost kwenye forums mbali mbali kuna ishu inanchanganya kidogo bt cjaona ushirikiano bado BT one love humu Pako POWa nimepakubali kimtindow
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wandugu? Naomba mnipokee nami niwe sehemu ya jukwaa hili.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni humu, nipeni ushirikiano wandugu.:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hi guys;i :A S 39:
0 Reactions
6 Replies
882 Views
Jamani me mgeni naomba msaada tutani nataka kujitambulisha naanzaje???
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii forum,ningependa niwajue member wa jf wanaopatikana wilaya ya serengeti-mara
0 Reactions
4 Replies
983 Views
Habair wakuu, Nmeingia JF na kuptia nyuz tofaut tofaut katka majukwaa tofauti tofauti nlkua cjafahamu kama kuna la utambulsho uku hvyo nmekuja mnipokee na ushirikiano wenu utakua mali katka...
0 Reactions
4 Replies
874 Views
Jamani mimi mgeni humu naomba mapokezi kama ya Lowassa kule UKAWA.
0 Reactions
6 Replies
979 Views
Tuelekezane maisha JF mi ndo naanza maisha.
0 Reactions
4 Replies
883 Views
Wakuu kama uzi unavyo sema hapo juu imenibidi niombe radhi maana nimeingia kwenye kaya ya JF na kutembelea vyumbani bila kubisha hodi na kukaribishwa na wenyeji ili wanipe utaratibu wa kuishi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakubwa shikamoni! Wadogo mambo vipi! Ndugu zangu wana JF, Mimi humu bado ni mgeni naomba ushirikiano wenu,
0 Reactions
5 Replies
838 Views
Natumaini nimeigia sehemu sahihi kupata taarifa na Kujuzana mambo mbalimbali katika ustawi wa maisha yet pia kujengana na kushirikiana pamoja Naomba kuwasilisha hoja wakuu
0 Reactions
6 Replies
919 Views
Back
Top Bottom