Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hi!
Hataree
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Eti humu ndio JF au nimepotea? Naombeni mnikaribishe kama ndio humu!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani habari zenu, nina wiki moja tu tangu nijiunge humu ndani natumaini mtanipokea mgeni wenu.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jaman wakubwa heshima kwenu me mgeni
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni katika JF. Naomba mnielimishe namna ya kupost thread mpya humu.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mshiriki mpya kabisa ndani ukumbi huu maridhawa. Ni kijana kutoka huko kusini mwenye elimu ya kati na natambulika kama Mr.SongeaOne. NAOMBENI USHIRIKIANO WENU WANDUGU.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau m mgen umu natka rafk yoyote yule wa kuchat na kupeana maarifa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nielekezeni jinsi ya ku copy post ya mtu na kua attach maneno yako..mm cjui
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimejiunga rasmi jamii forums tarehe 04/08/2015! May i come in!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndo naingia rasmi
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha wakuu, nilikuwa intruder for longtime lkn pasipo kushurutishwa na mtu yeyote nimeamua mwenyewe kujisajili na kuwa member kamili Naombeni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zetu wapendwa. Mimi ni mgeni humu naomba mnipokee na mnipe ushirikiano.
0 Reactions
4 Replies
996 Views
Salama wa ndugu.
0 Reactions
3 Replies
931 Views
mgeni nimeingia salaam kwenu nyote naomben mnipokee niwe miongoni mwa wanafamilia hii
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya kujisajili wiki mbili zilizopita hatimaye leo nimepata fursa ya kupost hii topic yangu ya kwanza. Ila admin mnazingua kuconfirm account ni wiki mbili jamaa, tena mpaka personal emails...
0 Reactions
3 Replies
886 Views
Naomba kujiunga Jf ili niweze kutoa mchango wangu wa kifikra kama mtanzania ninayelitakia mema taifa langu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni jamani nahitaji kuwa humu mjengoni kwa ruhusa yenu. Naomba mnipokee.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nashukuru kujiunga na jf watu makini wanaojua nini wanaandika.Tofauti na nyingine hapa nimekuta habari za uhakika na zilizochambuliwa na watu wenye akili.Nimekuwa nikitembelea humu mara kwa mara...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mgeni nimefika naomba mnipokee!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nawasalimu kwanza, wakubwa shikamoo, vijana wenzangu mabo vipi?. Nimekuja tushirikiane ktk forum hii ili kwa michango na mawazo yetu hakika 2tajenga nchi ye2 kwa pamoja. Asanten
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom