young eagle Member Joined Jul 28, 2015 Posts 29 Reaction score 4 Jul 30, 2015 #1 Jamani mi ni mgeni humu ndani naomba mnipokee
young eagle Member Joined Jul 28, 2015 Posts 29 Reaction score 4 Jul 30, 2015 Thread starter #3 Ahsante sana
mnang'umba JF-Expert Member Joined Jun 26, 2015 Posts 471 Reaction score 150 Jul 30, 2015 #4 Karibu ila hatutaki matusi
Barakoa 001 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 5,437 Reaction score 14,922 Jul 30, 2015 #5 Mi nikajua unatoka Ccm unakuja UKAWA bwana!!. Lakini karibu pia hivyo hivyo.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,094 Reaction score 110,896 Jul 30, 2015 #6 Karibu sana JF...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,870 Reaction score 13,854 Jul 31, 2015 #9 karibu sana JF mjukuu wetu............
Malyakishu JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,354 Jul 31, 2015 #10 Karibu sana weka mabegi paleeeereee
J Jemedari Hodari Member Joined Jul 29, 2015 Posts 76 Reaction score 8 Jul 31, 2015 #11 young eagle said: Jamani mi ni mgeni humu ndani naomba mnipokee Click to expand... Ha ha ha karibu sana kwenye jukwaa la great thinkers. Ila ukileta matusi au lugha za uchochezi unakatwa tu.
young eagle said: Jamani mi ni mgeni humu ndani naomba mnipokee Click to expand... Ha ha ha karibu sana kwenye jukwaa la great thinkers. Ila ukileta matusi au lugha za uchochezi unakatwa tu.
A alley omar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2013 Posts 277 Reaction score 37 Aug 2, 2015 #12 karibu kitukuu jamvini
A alley omar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2013 Posts 277 Reaction score 37 Aug 2, 2015 #13 halafu mnyez mbona unamtisha mgeni bwana mjukuu wetu ngoja akae apumzike tumtengezee chai tumsikilize nyuz zake
halafu mnyez mbona unamtisha mgeni bwana mjukuu wetu ngoja akae apumzike tumtengezee chai tumsikilize nyuz zake