My solemn salute to my seniors, Maxence Melo, Nyani ngabu and others.I strayed to the forum via the now defunct kenyanlist in the late 2000s.
Its been over 15 years being a visitor.Maybe i missed...
CCM oyeee!!
Samia juuuu!!
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
..!!
Naitwa Paul John.
MwanaCCM nayejua thamani ya Utawala wa Mama Dokta Samia Suluhu Hassan katika...
Wapendwa amani ya mungu iwe nanyi. naomba mnipokee nawapenda nyote. heaven on earth, evelyn salt,miss chaga napenda kuwa karibu na nyie sana. farkhina unanfurahsha sana hasa kwnye mambo ya mapishi...
Habari zenu gentlemen & ladies, ikiwa unafurahia kupokea wageni wapya hapa jamiiforums basi naomba unikaribishe kwa kunipa like na nasaha zako, nimekuja kuongeza maarifa hapa.
Mimi ni mgeni humu JF na ID yangu haina hata mwezi mmoja. Nimependa JF Mwana ni mtandao wa kijamii unaokukutanisha Mimi na watu wengi wenye uelewa tofauti tofauti na ujuzi wa mambo anuai...
Natumai Amani na utulivu vimetawala katika familia hii.
Katika ugeni wangu, naomba kujiunga nanyi, nami niwe sehemu katika platfom hii muhimu.
Asante.
Naomba kuwasilisha.