Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jamii forum the great thinkers
0 Reactions
11 Replies
1K Views
mpya ila mwenyeji muda mrefu mi ni mpenz wa jf ila rasimi sasa nimejiunga nayo
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni mgeni lakini sina kamba mguuni....Nipeni kiti nikae japo nitokapo si mbali.....fungueni vyenu vinywa tusalimiane huo ndo uungwana! Shikamooni wakubwa
0 Reactions
7 Replies
660 Views
Being a JF member and intergrating with various people endowed with critical views on various aspects of life it is Awesome. I expect your kind welcome!<br /> Regards,<br />
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wadau..! Kwa heshima na taadhima naomba mnipokee hapa jamvin kama mdau mpya...! JF ni sehemu nzuri ya kubadilishana mawazo, ujuzi uzoefu katika changamoto zinatotukabili kama jamii...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari zenu. Natumaini ni wazima. Mi mgeni humu. Najitambulisha kwenu. Asanteni.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hamjambo humu!
0 Reactions
4 Replies
762 Views
Mi mgeni humu. Shikamooni
0 Reactions
11 Replies
785 Views
WaTz saalam Kama mtaniruhusu naweza ingia na viatu [emoji3],. Shortly naipenda jf kwani unakutana na Mada nzuri ya siasa, uchumi, mahusiano etc... Natumaini nitaongeza maarifa kupitia Jamiiforum...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Những lưu ý khi định cư Hungary mà bạn nhất định phải biết Hungary là một trong những quốc gia có chi phí định cư thấp nhất châu Âu. Điều này khiến quốc gia này trở nên hấp dẫn trong mắt nhiều...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni huku na sijui vile kunaendaga. Nawaomba wakuu na wenyeji wa huku munisaidie na Likes zenu na nitashukuru...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari zenu Natumai wazima wote
0 Reactions
8 Replies
765 Views
Natumai mko wazima humu. Au sio?
1 Reactions
9 Replies
983 Views
hi, brothers & sister, grandmas&grandpas, friends & haters, mothers & fathers[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari ndugu, Excellent Training Center ni kituo cha kufundisha masomo ya QT na wanaorudia form IV, pia tunafundisha Elimu ya Watu Wazima wasio jua kusoma na kuandika. Kwa miaka yote tumekuwa...
0 Reactions
2 Replies
698 Views
Habari zenu?? Tupo pamoja!!
1 Reactions
5 Replies
625 Views
naomba msaada natumia simu ya mkononi nmedowload jf na iko freshi lkn cha ajabu mimi ni member wa jf hivyo nikiingaza imail yangu na password haifunguki naombeni msaada ndugu zangu nfanyaje?
0 Reactions
5 Replies
918 Views
Hodi hodi humu ndani mimi ni mgeni naOmben ushirikiano wenu
0 Reactions
5 Replies
682 Views
habari zenu wanajamii naomba mnipokee mwanachama mpya mlionitangulia.ahsanteni.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Am A real Man fro malampaka now student mzumbe university, healh sydtems management, i like to join this community[emoji4]
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom