Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi hodi members,,,,,, Brothers and sisters. ,,,,,,,, Ladies. and gentlemens. ,,,,,,,,,,, Katika ubora wangu hahahaa,,,,,,,,,,
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani mko poa nimekuwa msomaji tu kwa mudaa sasa since 2015 imefikia kipindi natamani kuchangia baadhi ya mada nimeingia lasmi nikaribisheni jamani. La madame Astelia.
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Naombeni mnipokee jamani kwenye hili jukwaa pendwa
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Hodiiiiii wenyeji mnipokee yaheee kuku mgeni
0 Reactions
11 Replies
950 Views
Habari zenu wote, nmeamua kujiunga rasmi baada ya kuifuatilia JF kwa miaka mingi, naomba ushirikiano wenu wa kila namna.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana JF, naomba mnipokee nikiwa kama mwanachama rasmi.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
New
Habari jamani me ni mpya so naitaji karibu jamani japo nilipitia post mbalimbali zilizonifunza na kunielimisha, kabla sijaomba ukaribisho
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naitwa Lillian ni member mpya wa jamii forum
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Salaam, wakuu nimejikuta tu tayari nimejisajili humu yani kama chafya tu. Mnipe ushirikiano Mengi mtajifunza kutoka kwangu Mniheshimu nami nitawaheshimu. Ahsante
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hi..!! to everyone I'm a newcomer and I ask for the company. I believe this area is unique to meet unique people for the exchange of ideas that's why I decided to join. I LOVE YOU ALL WISH YOU...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisoma posts kwa miaka mitatu sasa as a guest, nimeamua kujiunga rasmi
0 Reactions
8 Replies
988 Views
I salute you all kwa mada na michango murua niliyokua nikizisoma nikiwa nje ya JF, now that nimeingia mjengoni i hope to benefit a lot. God bless you all.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mm ni mgeni humundani na napenda marafiki wa kubadilishana mawaza Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Najitambulisha kama ninavyoonekana, nimechoka kusoma post as a guest . Naomba mwenyeji mmoja anipokee
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Naomben mnipokee mgeni mm
0 Reactions
23 Replies
2K Views
haya jamn nimerud tena baada ya kupotea kwa muda.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomben seaty wakubwa . heshima yenu. [emoji112]
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nawakubali wote wadau just all about fun connect collaborate motivet each guyz.......
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa msomaji kupitia dirishani kwa muda mrefu, sasa niamua kujiunga nanyi ili niweze kuchangia japo machache.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom