Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
habari zenu wanajamii naomba mnipokee mwanachama mpya mlionitangulia.ahsanteni.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Am A real Man fro malampaka now student mzumbe university, healh sydtems management, i like to join this community[emoji4]
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Hamjambo, Mie mgeni kwa hili Jukwaa lenu JF. Nilifurahia your stay upande wetu wa KT na vile nimepata habari kwamba JF imerejea nikaamua kujiunga nanyi kwa muda ili nipate kujua mengi kuhusu nchi...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba mnipokee humu. Nimetazama mijadala katika jukwaa la siasa kwa muda sasa na nikatamani kuchangia ila nilikuwa sina access. Pamoja hadi tuyang'oe magamba
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wenyeji mpooooo. Habari zenu wana jukwaa,naomba mnikaribishe na mnielekeze,mnisaidie na kunikosoa pale panapohitajika. Hodi tena kwa mara nyingine.
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Baada ya majukumu ya siku tupumzike n'a hii
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hodi me mgeni,hamjambo?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwalimu Jackson Jasper Managing Director Excellent Training Center Tanzania S.L.P 5902 DAR ES SALAAM Alkhan road, Upanga East Ward Call 0676450289. Jiunge na soma QT na Resitter (PC)
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Habari zenu Jf.
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Mimi ni mwanachama mpya hivyo nahitaji ushirikiano wenu.
0 Reactions
4 Replies
658 Views
Nimeamua kuingia tu sababu nimegonga hodi sijaitikiwa na mtu..moderater , invisible, jamii forum wote wako kimya. Nimeingia sebuleni hapa nimekuta soda nimeona niinywe tu hata sijui ni ya nani...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum Mimi ni new member nilijiunga humu since may 1 ila tu skuweza kutumia vizuri app but now kidogo nna uelewa jinsi ya kulog in, kuanzisha na kujibu threads. Ningependa...
6 Reactions
117 Replies
6K Views
kuku mgeni hakosi kamba mguuni
0 Reactions
5 Replies
994 Views
Nawashukuru kwa kuniruhusu kushiriki nanyi humu. Nimekuwa mgeni fiche kwa miaka mingi, na ni leo nilipopata ujasiri wa kujisajilisha. Haja yangu haswa ni kuimarisha kiSwahili changu. Huenda...
3 Reactions
5 Replies
984 Views
Habarii za kwenu
0 Reactions
38 Replies
3K Views
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Jamani iv kuna wanaJF wanaoish hapa Kasulu/KIGOMA? Kam mpo tujitambulishe then cku1 tupange tukutane tufahamiane physically, Me npo Kasulu eneo la Mlimani... Karibuni [emoji4]
0 Reactions
32 Replies
3K Views
mi mgeni natumai mu wazima...ntakuwa nanyi mda wote pia naamin mtanipa ushirikiano.
0 Reactions
10 Replies
933 Views
Wadau naombeni msaada kila niki sign in kwa acount yangu ya kawida inafunguka lakini haionyeshi kitu inaniambia try to use browers na mm natumia sim nili down load kama application sasa inasumbua...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari,
0 Reactions
10 Replies
880 Views
Back
Top Bottom