Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wakuu mimi binafsi natumia colget Advanced whitening kina ujazo wa 75mil si nyingi ila bei yake ni Tsh. 4,500 hii nzuri sana watoto wa Arusha utawakamata sana si unajua yale meno yao. Je wewe...
9 Reactions
157 Replies
90K Views
Kuna nyumba niliingia hivi karibuni dah ilikuwa ina nukia harufu nzuri ajabu Nimejikuta niko curious na nini hasa wanatumia hadi nyumba inanukia vile Nilishindwa kuuliza sababu kilichonipeleka...
22 Reactions
156 Replies
71K Views
Kuna ubaya wowote Mwanamme kufuga kucha? Wanawake mnachukuliaje hii issue? Na Wanaume mna suggest nini??
1 Reactions
156 Replies
27K Views
Habari zenu wapendwa? Naamini wote mko poa. yna2 Leo nimeamua kuwaletea somo la namna ya kutengeneza mafuta ya kujaza ndefu kwa wanaume (natural beard balm).Mafuta haya siyo kwamba yatajaza ndevu...
17 Reactions
153 Replies
26K Views
Urembo kwa wanawake ni jambo lisiloepukika na inahitaji gharama kwa mwanamke kujiweka katika hali ya utanashati ili kuwa presentable na kuleta mvuto wa kimapenzi kwa wanaume. Hapa chini...
19 Reactions
152 Replies
53K Views
Nashindwa kuelewa ni Ungonjwa au Uchafu Asubuh tu unakutana na mtu ananuka Jasho kama fisi la porini na amevaa smart kabisa ila ukipishana nae unaweza kuzimia Unakutana na mtu smart kapendeza...
30 Reactions
152 Replies
17K Views
Nauliza hivyo maana nilikuwa nimepanda hiace nimekaa na dada siti moja ameyashonea hayo madubwasha yanatoa harufu kali. Halafu sijui nani aliwadanganya kuwa yanawapendeza maana wengine...
14 Reactions
151 Replies
13K Views
Kuvaa vazi la kulalia hasa kwa mwanamke, umuwezesha mwanaume aliyenaye chumbani kutokumchoka. Mwanamke anayevaa vazi la kulalia (night dress), humuongezea thamani katika mahusiano yake. Kuvaa...
9 Reactions
150 Replies
11K Views
Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉 Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha. Nikiwa...
11 Reactions
150 Replies
9K Views
Wanaume wengi wanasemaga hawapendi mwanamke anae jipodoa Ila wacha tu tujipodoe kwakwel mpk mkituona barabaran mpagawe Chura sina na sura nayoo[emoji57][emoji57]
3 Reactions
148 Replies
17K Views
Habari wakuu, nguo ni mojawapo ya mahitaji matatu muhimu. Ni hitaji muhimu lakini bajeti yake nayo inabidi ichungwe hasa kwa kina sisi ambao bado uchumi haujawa stable. Huwa nasikitika sana...
9 Reactions
148 Replies
12K Views
Salaam! Ni njia zipi unatumia kulinda usafi wa kinywa chako na kufanya mdomo usitoe harufu. Kuna kuswaki kila baada ya mlo lakini wakuu imagine unaswaki asubuhi na jioni during day ila tambua...
8 Reactions
146 Replies
10K Views
Wakuu nadhani mko poa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii ??? Kama ujanipata hebu...
4 Reactions
146 Replies
13K Views
Wote tunajua umuhimu wa kuoga na kila mtu ana ratiba yake ya kuoga ukiachana na wale wanaooga mara mbili kwa siku Kuna sisi ambao kuoga kwetu ni mara moja tu kwa siku, so ni kuchagua tu mwenyewe...
11 Reactions
144 Replies
9K Views
Naam Aisee katika changamoto nazipitia katika haya maisha ni linapokuja swala la kiatu Cha kuvaa . Nina miguu mikubwa sana mguu wa kushoto navaa namba 45 na wa kulia navaa namba 45 na nusu...
10 Reactions
144 Replies
21K Views
Habarini wakuu, Nimewakumbuka, Kwanza nafaurahi kurudi JF baada ya muda, Twende kwenye mada tajwa hapo juu, ni ukweli kwamba dread locks ni nywele nzuri hasa kwa wanaojua kuzitunza na...
21 Reactions
144 Replies
16K Views
Vazi la Khanga ama kitenge kwa wadada wa Kitanzania li zuri linavutia - Linaonyesha uzuri alionao msichana wa kitanzania - tulipitishe liwe la kitaifa kwa wadada wetu!!
6 Reactions
143 Replies
26K Views
This is where it all goes down. Where that Ngabu body is sculpted. LA Fitness baby It goes down in the gym..... Goals baby....goals! Angled leg press....massive weights! Guns...
5 Reactions
143 Replies
13K Views
  • Redirect
Nywele natural ila kipilipili cha hatare nataka zinyooke ukiweka dawa zitaota tena? Mimi nina rules kadhaa nimejiwekea kwa nywele zangu natural na nimeona maendeleo kwa kweli...mwanzo ilikuwa...
7 Reactions
Replies
Views
Wadada mnapenda kununua nini ambacho hamtaki kiwe mbali na nyie? Yani kitu/vitu gani hua mnapenda kua navyo kiwe cha kuvaa ama kutembea nacho mahala popote hata ukiwa safarini. Kitu/vitu gani hua...
3 Reactions
141 Replies
15K Views
Back
Top Bottom