Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Leo nimeshuhudia wigi la mdada limeanguka baada ya kunata kwenye mlango,aisee ki ukwel ana kichwa kibaya saaaaanaa. MY TAKE Kama ni mdada na unavaa mawigi ongeza umakini usije kuaibika kama una...
13 Reactions
47 Replies
2K Views
Bei ya nywele za crotchet ni sh ngapi? Normally ina range vipi na bunda ngapi litatosha kwa kawaida, kwa wale ambao mnazisukaga hizi na bei ya kusuka ni 30,000 au wamenichuuza?
1 Reactions
47 Replies
9K Views
Wakuu, Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Warembo wengi huwa tunajitahidi kuvaa nguo zitakazotukaa vizuri kulingana na maumbo yetu lakini viatu tunavaa tu vyovyote tunavyoona vizuri. Hii si sahihi! Kama mjuavyo, muonekano mzuri wa mavazi...
5 Reactions
47 Replies
17K Views
Nimetumia dawa za aina nyingi na hizi tube zinapungua kidogo zen zinarudi sasa hivi ndio zimeongezeka msaada wenu hapo wakuu tiba ipi ni nzuri.
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Imekua ni utamaduni kwa wanawake kunyoa sehemu za siri na kubakiza upara kabisa, hii inaweza kusababisha kushambuliwa kwa urahisi na bakteria. ''Unavyonyoa sehemu za siri, unasababisha usumbufu...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Up the Career ladder, lipstick in hand. WANT more respect, trust and affection from your co-workers? Wearing makeup — but not gobs of Gaga-conspicuous makeup — apparently can help. It increases...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Natumai mko poa. Jamani magagulo yamepotelea wapi .Nadhani wale wa umri wangu wanalikumbuka hili vazi la siri na la heshima sana enzi hizo. Huwezi kumkuta mdada au mmama hajalivaa hilo...
1 Reactions
47 Replies
12K Views
Habarini! Kuna hili suala la mavazi hasa kwenye majiji, manispaa na miji ya hapa Tanzania na nchi karibu zote duniani. Vijana wengi sasa wakitembea barabarani ili ujue jinsia zao basi itakubidi...
12 Reactions
47 Replies
10K Views
Wakuu habari zenu Naomba ushauri ni body spray gani nzuri kwa mwanaume. Ahsanteni.
3 Reactions
47 Replies
12K Views
Socrates aliwahi kusema "...ni aibu iliyoje kwa mwanadamu kuzeeka bila kujua ni nguvu kiasi gani na uzuri kiasi gani mwili wake unaweza kufikia" Nataka tujigee changamoto ya kuona ni kwa kiasi...
11 Reactions
47 Replies
6K Views
Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
1 Reactions
46 Replies
13K Views
Wakuu ni mbinu gani nitumie ili kuondoa makunyazi usoni!?maana kila time naonekana kama nimekasirika kumbe sio
3 Reactions
46 Replies
11K Views
Jamani nakerwa na harufu ya madawa/mafuta anayotumia mpenzi wangu kwenye nywele zake ila ndo sina jinsi sasa maana nikimwambia anyoe nywele kichwa ndo tatizo tena. Sasa wanaume wenzangu hili...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Naomba kujua vyakula vinavosaidia makalio kuwa laini, pamoja na ngozi yake kuwa nyororo
0 Reactions
46 Replies
20K Views
Mimi ni mwanaume rangi yangu ni black by nature kuna baadhi ya lotion hua nikipaka huanza kuharibu asili yangu. Wakuu naomba kujuzwa ni aina gani ya ingredients ambayo ikiwa katika mafuta huathiri...
0 Reactions
46 Replies
15K Views
Wakuu, yani wadada kusikia utabiri wa hali ya hewa kwamba maeneo ya pwani kutakuwa na upepo mkali wa wastani na mawimbi ya bahari kufikia hadi mita 2 , Basi wameamua kuvaa nguo fupi alafu...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Hakuna cha mzuqa, Utakuta ni warembo tu with a fat gene lakini wanajikongoroa miili yao kwa kutokula ama kushinda na apple na maji ili wamaintain kukongoroka wenyewe wakidhani ni warembo kumbe...
8 Reactions
46 Replies
12K Views
Huyu ni yule mpenzi wako ambae kila ukiongea nae unamuona kabisa ni yule wa kwashida na raha. Leo amekutaarifu kuwa anakukaribisha chakula kwao. Umetoa ile nguo ya mwisho kabatini ile uliyolipa...
12 Reactions
46 Replies
8K Views
Back
Top Bottom