samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,962
Natumai mko poa.
Jamani magagulo yamepotelea wapi .Nadhani wale wa umri wangu wanalikumbuka hili vazi la siri na la heshima sana enzi hizo.
Huwezi kumkuta mdada au mmama hajalivaa hilo vazi la sirini,hivi yamekuwaje tena hayaonikani wala kuvaliwa na sababu ya kutokuyavaa ni nini wakuu hebu tufahamishane kuhusu hili vazi.
Nakumbuka utoto wangu nikikosea kuvunua sehemu nisiyoelekezwa, basi Bibi ataniambi wewe utakuja kufunua hadi Gagulo la mkweo,kwa jinsi hili vazi lilivyokuwa la heshima na la siri.
Tuambiane wakuu kulikoni Magagulo.