Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habar za jion wadau, natengenexa vitu vya urembo mf heren ,kembe cheni na mikanda .changamoto niliyonayo sijui pa kuviuzia, naomben ushaur jaman na hat a jumla nauza vipo vya jumla na rejareja...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Kina dada wengi huamini kuwa mwonekano wao na thamani yao kiurembo ipo kwenye nywele zao. Hata hivyo utafiti wangu umebaini kuwa kuna utofauti mkubwa katika kuthaminisha nywele kati ya wale...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Hakuna haja ya utafiti ni jambo lililo wazi sasa kwamba biashara ya urembo kwa wanawake imepanuka sana kufuatia uhaba wa wanaume. Wanawake wamekuwa wafuasi wazuri wa makorokocho kwenye miili yao...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Binafsi huwa navutiwa na vitu vingi sana.., infact kwa wale wanaofikiri kujifunika kichwa ili nywele zisionekane ni kuzuia uzuri wako usionekane mnajidanganya, tena hapo mi ndio huwa navutiwa...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Hi Wadau naomba kuuliza vigezo vya uzuri au urembo ni vipi na watu wametumia misingi ,taswira na mtazamo upi kuweza kuoanisha uzuri wa mtu. Facts with no leakage ndo hoja reasonable reality
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Baada ya masaibu ya kujitakia urembo bandia, Urach hawezi tena kutembea kwani kwa sasa anatumia kiti cha magurudumu Mwanamke aliyemaliza katika nafasi ya pili ya mashindano ya urembo amesema...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Happy New Year 2015.... Smart African Designs inapenda kukuletea fulana, magauni na mashati mazuri ya kiAfrica kwa bei poa. Dial/Whatsapp (Tuwasiliane): 0786 527572 Tupo Lumumba Karibu na CRDB...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakina mama na wakina Dada wameanzisha mipango mipya ya kuvimbisha maziwa ,wengine wakiyapiga sindano yawe magumu, imefikia hata wenye haki yaani watoto wao unyimwa na kupewa chupa huku...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
o Huwezi kuepuka matangazo ya mauzo kila utembeapo katika Mji wa Seoul,utapata wito wa kukutaka ubadilishe umbo kwa njia ya upasuaji wa kuongeza urembo bandia. Katika mtaa wa ukwasi wa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (kulia) akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU Leo Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali. Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
56 Replies
15K Views
ndo maana nilinyoa
2 Reactions
19 Replies
3K Views
bei ya jumla na rejareja,niko mbeya mjini,karibuni bei maelewano
0 Reactions
1 Replies
3K Views
“Sijui walitumia gundi ya aina gani kumbandikia kucha mwanangu, mpaka sasa sielewi, mtoto mwenyewe ndiyo huyo huyo mmoja wa kike niliyekuwa nikimtegemea na ndiyo kwanza ndoa yake bado change...
0 Reactions
67 Replies
16K Views
Wanajamvi naomba tuendeshe mjadala wa mavazi kwa nchi za Afrika Mashariki. Je, wanawake wana haki kuhusu mavazi yao, na vipi kuhusu wanaume kuvaa mavazi yao? Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wenyeji wa jukwaa hili. Mavazi ya wanawake yamekuwa na mitindo inayobadilika kwa kwa kasi kama mabadiliko ya sayansi na teknolojia. Leo naomba kujua jambo moja ambalo huwa...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…