Sheria Ngowi: Mbunifu wa mavazi Mtanzania anaemvalisha Kikwete na Pinda

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,425
2,000

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (kulia) akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU Leo Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali.

Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sample za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia) IKULU Jijini Dar es Salaam leo, Kushoto ni Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi.
1.jpg
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam.
2.jpg

Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatuka Kumtengenezea Waziri Mkuu jana jijini Dar es Salaam.
3.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia na kuchagua aina ya vitambaa vya suti amabvyo vitatumika kutengenza baadhi ya Suti Zake alipotembelewa na Mbunifu wa Kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi jana jijini Dar es Salaam.

Source: Bloggers.....

 

kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,456
2,000
Ana rasta ana kipini na anaonekana mlaini laini. Nihakikishieni kama huyu yuko tofauti na wabunifu wengine
 

Steph Curry

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
5,750
2,000
mzima huyu anagonga dadaka february manyuzinyuzi ndo maana anapatags dili kubwa kubwa

huyo aliendeshwa na hatred zake kwanza kwa ukristo na nyingine kwa uchaga. Haya ushapewa jibu anakula mwenzenu Mwan'Amani
 

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,397
2,000
mzima huyu anagonga dadaka february manyuzinyuzi ndo maana anapatags dili kubwa kubwa

Shosti .

Mwaga details no za simu huna(no muhimu sana maana nakaa porini lol)..
Yeye aendelee kugonga mwami hata mie nina njia kuu yangu
Tugongane mara 2 tatu kila mtu achukue habari..

Kizuri kula na wenzako...;);)
 

Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
38,480
2,000
Shosti .

Mwaga details no za simu huna(no muhimu sana maana nakaa porini lol)..
Yeye aendelee kugonga mwami hata mie nina njia kuu yangu
Tugongane mara 2 tatu kila mtu achukue habari..

Kizuri kula na wenzako...;);)

hahahaaaaa umeona eeehh!!ngoi anagonga pale ila mi namkubali sana
 

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,868
2,000
Na anamsupport sana kwenye duka lake lililopo Masaki ila daah suti anauza very expensive
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom