Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
  • Sticky
Wapendwa, Nimeona nifungue uzi huu maalum kwa wadada wanaopenda mitindo ya nywele. Katika uzi huu nitakuwa nikiweka mitindo mbalimbali ya nywele kila nitakapopata nafasi, lakini pia kwa wale...
14 Reactions
373 Replies
222K Views
  • Sticky
Habari wakuu, Nimeona na mimi nitoe darasa kidogo kuhusu mavazi sababu na mimi ni kipaumbele changu katika maisha. 1.Epuka kuvaa marangirangi Wakati unamatch mavazi jitahidi kupunguza idadi ya...
94 Reactions
481 Replies
194K Views
  • Redirect
Kwanza inafaa ufahamu ni nini kinacho kusababishia nywele zako kuwa kavu , na kuanza kukatika katika, mara nyingi nywele kuwa kavu inaweza kutokana na sababu mbalimbali. Hapa kuna machache, na...
1 Reactions
Replies
Views
Wanamke kutamani kutembea uchi ama kuonesha maumbile na makalio yao:- (a) Wanasukumwa na nini nafsini mwao? (b) Lengo lao ni nini? (c) Ili wapate nini?
8 Reactions
49 Replies
7K Views
Wakuu msaada apo mwenye kufahamu zoezi la kutengeneza shingo tafadhali
1 Reactions
57 Replies
13K Views
Wadau hili ni swali linalonifikirisha sana Naomba mnisaidie wajuvi Zile zipu za mbele kwenye suruari za kike waga ni za kutolea nini?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Unapochagua mascara kuna mambo muhimu ya kuzingatia kulingana na lengo lako unalotaka kutimiza. Unatakiwa kujua unataka kope zionekane ndefu( lengthenning), zionekane zimejaa/nene (thickenning)...
10 Reactions
199 Replies
15K Views
Habari zenu wana jamvi.. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ieleweke wazi dhumuni la UZI huu si kutaka kuwakebehi watu wenye tatizo hili ila ni kupata maoni na ushauri jinsi ya kulitatua tatizo...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiangaika kupata aina ya nguo za kuvaa tena hasa wanawake wanene, kutokana na maumbo yao wanaona ni kazi sana kutafuta nguo, wengine hukosa hata uhuru wa kutoka out...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Hii ni njia ya rahisi sana ya asili ya kuweka mng'ao kwenye nywele zako na kuzifanya zishine pia inachochea ukuaji wa nywele Unachotakiwa kufanya ni kuchemsha majani ya rosemary kwenye maji kiasi...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Akina dada mtakuwa na majibu sawia. Nataka kumpa mtu zawad ya kitenge kizur na cha class A. Akashone nguo. Sijui nakitambuaje au nakipataje kitenge kizur sana dar. Sina mgogoro wa bei bali...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
hiiii ndo fashoooooniiii bwana,,,, mmmh kwel hatar
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Namba za mawakala hazipatikani, meseji hazijibiwi, au ndio alikusanya mikwanja akasepa na kijiji. Tupeane ushuhuda wakuu, kama kuna yeyote aliyetumia udongo na ukamsaidia alete ushuhuda hapa, au...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Hivi jamani dada zangu hizi rasta za mnazosuka mistari ya twende kilioni style huwa zinabadilishwa baada ya mda gani. Nauliza hivi kwa sababu wengi ninaopishana nao huwa unakuta zinatoa uvundo...
2 Reactions
26 Replies
20K Views
Habari, Watu wa masuala ya urembo na utanashati. Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata...
7 Reactions
112 Replies
7K Views
Nimejitahidi kukaa na nywele kwa miezi sita, lengo ni kuzi-maintain ili nywele ziwe ndefu ndo iwe kama style yangu mpya. Kufikia sasa nimedhamiria kwenda salon kuzinyoa tu maana nimeshindwa...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
  • Redirect
Mavazi ni muhimu sana katika kujenga mtindo wa maisha wa mtu na kujiamini. Watu wote wanastahili kuvaa mavazi ambayo yanawapendeza na kufanya wajisikie vizuri. Kwa hivyo, hapa kuna vidokezo kadhaa...
0 Reactions
Replies
Views
Habari warembo nilikua naomba kueleweshwa hivi hizi cream kama wix, dela nk ni asilia hazina chemicals? Nataka cream kutumia asilia lakini zitakazoipa ngozi yangu mng'ao na rangi amazing...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Kweli sio jambo zuri kuuchukia muonekano wako. Mtu mzima na heshima zake, hapaswi kutembea huku akijishtukia kuhusu umbo la pua yake ya kwamba watu watalitambua na kulizingatia. Au mdada mzuri...
1 Reactions
3 Replies
772 Views
Aseh hv ulishawai kutana na mwanamke usiku ile rangi yake ya weupe ikakuvutia ilee paaap unakutana nae asubuh huamin macho yako vidole vyeusiiiiiiii yan anatisha vidole vya mikononi mpk...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari. Wigi ama less wigi ni nywele inayotamba sana mjini pamoja na kuwa na aina nyingi za nywele lakini wigi imeteka wadada. Kwanini wigi au less wig...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom