Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

POWER TILLER GT SHAKTI 880 hp 13 Diesel Usithubutu kununua haka ka Power Tiller nimekanunua majuzi tu sh 2,200,000 HP 13 Diesel tayari kamevunja diff, na spare hawana Naombeni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi Mimi ni mkulima mdogo mwenye shauku kubwa ya kumiliki trector Kwa mwaka huu 2023, nmechoshwa na gharama kubwa ya matrector huko Songea, heka Moja mwaka huu tumelima Kwa TSH 90000 had...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Msaada tafadhali, miparachichi yangu imepukutisha matunda yote yangali machanga sana, shida nini na niitatueje wataalam?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tupia picha kuonyesha hali ya mazao ya chakula yanavyoonekana shambani sehemu unayoishi. Lengo ni kutaka kujua hali ya mvua na ukame katika mikoa mbalimbali. Karibuni. Hapa ni mkoa wa Iringa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu? Nafanya utafiti kidogo kuhusu Lucerne au Alfalfa Tanzania na Kenya. Hapo Kenya naona wanalima alfalfa kwa ajili ya ng'ombe na mbuzi Zao. Tanzania sijapata Maelezo bora, zaidi ya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau karibuni muwekeze Njombe. Wewe toa pesa tu sisi tutakufanyia kila kitu, ikiwemo kununua hizo parachichi
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Jamani wadau naomba kuuliza, huyu mbuzi imemuanza shida hyo. Je, huo utakuwa ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zanu wadau wa JamiiForums, Poleni na shughuli za kila siku za kujenga uchumi wetu. Leo naombeni msaada wenu wa kunitoa matongotongo kuhusu kilimo kipi kinalipa/au kisicho na usumbumbu...
3 Reactions
22 Replies
8K Views
Habari wapendwa naomba kujuzwa nina kaeneo kadogo Singida kadogo tu robo heka nahitaj kukapanda miti ya mbao kea sababu sijengi hvi karibuni naomba msaada ni miti gan inastawi vizur hapo Singida...
1 Reactions
3 Replies
541 Views
Habari wandugu Naomba kujua garama za hii Mashine na je ni vigezo gani anatakiwa kuwa navyo MTU anaetaka kununua awe na kituo cha kununulia tiketi je faida IPO katika mfumo gani? Nikiwa na...
0 Reactions
26 Replies
21K Views
Habari za muda huu, Wadau na shida moja kwa anaejua kiwanda ama msambazaji mkubwa wa Mifuko hii ya kutunzia nafaka inayoitwa Kinga njaa anielekeze ni jinsi gani nitaipata hiyo Mifuko kwa bei...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, kichwa habari chahusika. Wenye uzoefu na Kilimo cha miti ya mbao tunaomba kujuzwa ni miti gani bora yenye kutoa mbao nyingi. Inakua kwa muda gani. Baadhi ya miti michache nilowahi kusikia...
1 Reactions
74 Replies
44K Views
Namaanisha ile kwenda baharini na kuomba kibarua cha kazi ya kuanza kuvua samaki hlf ni mgeni na sina uzoefu wa kuogelea. Nimeongea na wavuvi wenyeji Wenye mtumbwi wa kawaida tu, wamekubali...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba nijue hivii zao la vanilla inalimwa wapi zaidi na ukanda ganii 🙏
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau ambaye anauzoefu wa Zao hili la VIAZI MVIRINGO tafadhali nisaidie kujibu na kunipatia taarifa zaidi kutokana na maswali yangu nitakayouliza hapa chini, lengo niweze kufahamu nini...
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Hello Wana JF Naombeni msaada wa ushauri, mawazo au maelekezo wa mahali au wauzaji wa mbegu za Safflower kwa hapa Tanzania N:B Soko kuu la Kariakoo( Nimetafuta bila mafanikio)
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Infaltion inafanya maisha yanakuwa magumu sana. Athari kubwa zinakuwa upande wa lishe. Si vema kupata utapiamlo na hali unaweza solve kwa kuotesha mbogamboga hapo nyumbani. Tushirikishane juu ya...
9 Reactions
26 Replies
5K Views
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyez mungu mwingi wa rehema, pia natoa pole Kwa wakulima wenzangu waliokumbwa na ukame katika msimu huu wa kilimo. Jambo lililonileta kwenu nikutaka kujua...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Kwa wakulima wa mahindi wa mkoa wa Mbeya. Mwaionaje hali ya mahindi yetu mwaka huu. Kwa mimi hairidhishi kabisa! Sijui kilichotokea. Mvua ilikuwa vizuri Taratibu za kilimo zilifuatwa kama miaka...
3 Reactions
56 Replies
4K Views
Wadau wa kilimo, kama kuna mtaalam anafahamu hichi kilichopo kwe picha ni kitu gani, atupatoe elimu kidogo, maana nimeikuta shambani kwangu, imenistua sana maana, sijawahi kukutana na product...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…