Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

BUNGE LARIDHIA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI 2023/2024 YA TSH. BILIONI 295.9 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naweza kupata vipi Corn Harvester inayo weza kufanya kazi kwenye powertiller ( CORN HAVERSTER AS ONE OF THE POWERTILLER COMPONENT)
1 Reactions
0 Replies
407 Views
Habari wadau Nishachoka kumaliza hela kwenye matikiti sasa nataka kurudi kwenye kilimo chetu cha asili. Nataka kulima mahindi ya kuchoma niuzie Dar es Salaam kwahio naomba ushauri sa mambo...
7 Reactions
42 Replies
16K Views
Mbunge Emmanuel Cherehani ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga amesherehekea Siku Kuu ya Mei Mosi na Wana-Ushetu huku akiwasihi wananchi waweke akiba ya Chakula kutokana na hali...
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Habari, Namtafuta mtu anayetaka kulima shamba bure, lipo Masaki, Kisarawe. Linafaa kwa kilimo cha mihogo, mahidi, nampa alilime bure. Lina ukubwa wa hekta 2, lipo karibu na barabara. Contact...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAOMBA BILIONI 295.9 BAJETI MWAKA MPYA WA FEDHA 2023/2024 Waziri wa Wizara Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Hamis Ulega ameliomba Bunge likubali kupitisha Makadirio ya...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Kichwa cha habari chajitosheleza
0 Reactions
5 Replies
882 Views
Salaam, Bila shaka ninyi wote ni wazima wa Afya. Nimekuwa mdau lakn pia mkulima kwa muda mrefu Sana, nimekuwa nikiona ups and downs katika Kilimo na hii imenipa Kujifunza mengi ikiwemo makosa...
2 Reactions
1 Replies
739 Views
Hello Habari! Mwenye connection na wakulima wa Pili pili kichaa zile kali fupi nyekundu aina ya African Birds Eye chill (ABE). Please naomba unicheki.
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni Ushauri wa biashara ya mbuzi kwa atakaeiweza. Mimi ni mkaazi wa Zanzibar. Kama kuna mtu yupo tayari kufanya biashara hii ya mbuzi kipindi cha skukuu ile ya kuchinja huku Zanzibar wanalipa...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Nina plan ya kulima mazao ya biashara alizeti au kahawa. Nimeshauriwa kwenda ngara. Wanasema Kuna Hali nzuri ya hewa inayo supoti mazao tajwa hapo juu. Niliwahi kufika ngara Mara 1 na nikakaa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chahusika, nipo Dat Es Salaam. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Wakuu natafuta kiatamishi cha mayai kinachotumia mafuta ya taa bei kiwe chini ya 50 000
0 Reactions
9 Replies
1K Views
MBUNGE MHE. NORAH MZERU ACHANGIA MILIONI 3 VIKUNDI VYA WAKULIMA WA MPUNGA KILOMBERO Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amechangia Miradi ya Kimaendeleo ya wanawake wa...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Nataka kuanza kufuga kuku wa mayai na nataka kujenga banda. Naomba ushauri mambo mhimu ya kuzingatia ili nisiingie chaka.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
UWEKEZAJI WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA KILIMO UNA DHAMIRA KUZALISHA AJIRA KWA VIJANA-NDG KAWAIDA Mwenyekiti Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameadhimisha Sikukuu ya Miaka 59 ya Muungano wa...
0 Reactions
2 Replies
658 Views
Habarini wana jamvi letu pendwa, Nauhitaji wa kununua kuku wa kienyeji kwa bei rahisi (chini ya Tsh 10,000/=) kama kuna mdau anafahamu sehemu (kijiji/kata, wilaya au mkoa) basi naomba anitajie...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari mwana jamvi, Kama upo humu na unajihusisha na kilimo cha miti ya matunda na maua. Kama upo Tukuyu hebu fanya kunitumia private message hapa Upate hela ya pasaka.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KOMREDI KAWAIDA - HALMASHAURI TENGENI MAENEO YA KILIMO Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida ameendelea kukagua maendeleo ya mafunzo ya Kilimo kwa vitendo Shambani wanapofanya...
0 Reactions
1 Replies
460 Views
Habari natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa nafaka, yaani kupima mahindi au nafaka nyingine zimekauka au zina ubichi kiasi gani Anayejua vinapatikana na bei zake anijuze
3 Reactions
4 Replies
867 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…