Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kuna modal ya Min Power Tiler nimeiona ikitrend. Imeundwa kwa injini ya piki piki. Je inaweza kazi au haiwezi. Naomba alieitumia anipe ushuhuda. Picha kwa niaba ya TIKTOK.
4 Reactions
5 Replies
632 Views
Itifaki ikiwa imezingatiwa, rejea kichwa cha habari. Ndg zangu ktk jitihada za kupambana huku shambani nakwamishwa na ukosefu wa maji. Nimejaribu kueasiliana na wachimbaji wa visima virefu, bei...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu . Naomba msaada wapi nitajifunza Kilimo Hai cha mbogamboga, JijiniArusha. Nahitaji kulima mbogamboga zisizotumia kemikali wala mbolea za viwandani.
1 Reactions
2 Replies
406 Views
Mfugaji wa nguruwe tazama nguruwe walivyobadilika na kuwa na afya bora ndani ya muda mfupi tu na hii ni baada ya kuwapatia Virutubisho vya MAX PIG kutoka Mifugo Plus. Nitoe wito kwa wafugaji wote...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimepanda shamba la nanasi. Huu ni mwaka pili. Nimeshaanza kuvuna. Nahitaji kuongeza/kuweka mbolea ya kunyunyizia [Foliar fertilize]. Ni ipi inayofaa?
0 Reactions
1 Replies
464 Views
PALIZI YA MAHINDI KWA KUTUMIA DAWA. Dawa zinazotumika kabla ya mahindi na magugu kuota. · Katika hatua hii, dawa inayotumika ni aina ya metelaclor+Atrazine. · Tumia kabla...
6 Reactions
31 Replies
31K Views
Habari za jioni , poleni na mahangaiko ya kutafuta riziki Kama kichwa Cha habari juu kinavyojieleza hapo juu. Mimi binafsi nilikuwa na Wazo la kuanza kufuga kuku hawa wamayai kwa ajili ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya . Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara. Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
5 Reactions
35 Replies
9K Views
Hapa nazungumzia kilimo biashara, sio kilimo cha kutegemea mvua, ukimwambia mtu nataka niende nikalime kati ya watu 10, 9 watakukatisha tamaa, juu ya hasara waliowahi kuzipata kwenye kilimo...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Kama kichwa cha Posti kinavyojieleza, ninaishi Dar es Salaam jiji la joto jingi baridi nadra labda tu ikitokea malaika wa baridi amefurahi kama ilivyotokea mwaka mmoja kati ya 90 ambapo watu...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi wakuu,kwa mwenye uzoefu nimelima shamba ekali 3 za hatua 70*70 Nililima mapema sana mwezi wa 10 sasa majani yameota mengi sana kabla sijapanda mbegu kiasi kwamba nikipanda...
0 Reactions
4 Replies
687 Views
Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko...
26 Reactions
192 Replies
23K Views
Kwa wakulima wenzangu msimu wa maembe umewadia changamoto kwa sasa ni soko linapatikanaje. Kwa yoyote mwenye kujua soko la uhakika tafadhari naomba tujulishane au kama unahitaji embe kwa bei ya...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi naona kilio kwa wakulima wa nyanya na nyanya chungu, very soon naanza kutoa mzigo wa pilipili shambani maeneo ya kilosa, vipi kwa upande wa pilipili sokoni imesimamaje. Wadau...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndama dume anauzwa. Mbegu ya mrija Ana umri miezi 5 Bei 350,000 haipungui Location :kiluvya gogoni dsm 0715067707
3 Reactions
6 Replies
832 Views
Ningeomba kwa watu wanaojua kuhusu kilimo cha miti ya mbao changamoto, faida, upandaji na utunzaji wake na maeneo gani unatakiwa uoteshe hiyo miti kwa hapa Tanzania. Nitashukuru kwa mawazo wakuu
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Tumefanya mdahalo wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu kilimo cha umwagiliaji kama njia ya kujikwamua kiuchumi. Akina mama walioshiriki walitoa ushuhuda wa jinsi kilimo hiki kimewasaidia...
1 Reactions
1 Replies
442 Views
Naanza ujasiliamali kwa kutakq kufuga hao KANGA, BATA BUKINI kwa ajili ya kitoeo na kuuza. Naomba kufahamishwa miiko na mengineyovkuh viumbe hao
4 Reactions
2 Replies
745 Views
TUNAUZA CHUPA ZA KUNYWESHEA NDAMA MAZIWA WE ARE SELLING CALF FEEDING BOTTLE 🍼 CALF MILK BOTTLE 🍼 CALF NURSING BOTTLE Ujazo lita mbili (2L) Call/Text/Whatsapp: +255 714 63 63 75 joackcompany...
0 Reactions
2 Replies
328 Views
TUNAUZA CHUPA ZA KUNYWESHEA NDAMA MAZIWA WE ARE SELLING CALF FEEDING BOTTLE 🍼 CALF MILK BOTTLE 🍼 CALF NURSING BOTTLE Ujazo lita mbili (2L) Call/Text/Whatsapp: +255 714 63 63 75 joackcompany...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…