Wadau hodi kwenye jukwaa..baada ya kutembelea jamiiforum kama guest kwa miaka miwili mfululizo,hatimae jana 15/09/2013 niliamua kujiunga rasmi na mtandao huu,ambao umejaa vichwa vyenye mawazo...
Wadau wa jm.forum naomba msaada kujua ni kampuni ipi yenye bei poa katika
1. domain registration bei gani??
2. kuhost web site bei gani ??
Ntashukulu sana any help I will get kuna uwezekano...
Nimekuja na tamaa ya uchimbaji madini,naomba kuelimishwa utaratibu ukoje katika masharti, vibaya na hata leseni inagharimu kiasi gani?gharama anategemea ukubwa wa kitalu ?natanguliza shukrani.
Kijana mwenzenu nimepewa hela na kaka yangu kama mtaji wa kuanzia biashara yeyote. Nina digree ya uhasibu. Akili yamgu yote nilikua nimeweka kwenye kuajiliwa tu.Nimetafuta kazi weeee...nimechoka...
habari zenu wana jf, naombeni ushauri wenu juu ya sehemu nzuri inayofaa nataka nifungue play station, watoto hata vijana waje wacheze game, nipo dar es salaam, hata kama kuna anaye pangisha frem...
Habari wana jf.mm ninaishi morogoro nina fedha tasilimu milio tatu tu naomba msaada wa ushauri wa biashara madhubuti ambayo inanweza kuifanya ila pia nipo tayari hata kwa tanga kuhamia kama kwa...
ndugu nina mtaji wa 5 million naomba ushauri wenu biashara gani naweza kufanya ikalipa? niko kibaha pia nafikiria kusafirisha viazi mviringo toka mbeya au vitunguu kutoka ruaha mbuyuni hadi dar...
Wakuu,
Naomba kwa anejua links muhimu zinazotoa elimu ya ujasiliamali aziweke hapa.
Naamanisha Vitabu,blogs,websites,etc Naamini tutazidi kuelimika kupitia link hizo
Karibuni Wadau!
wadau wa ujasiriamali poleni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu na taifa bila kusahau mafisadi.
Nimechukua hatua ya kuandika uzi huu baada ya kuona jambo hili linajirudia mara kwa mara na watu...
Mi ni mfanyakazi wa serikali na nina miaka miwili sasa na ninapokea net 250000 ninahitaji sana mkopo wa kiasi tajwa hapo ili niweze malizia ujenzi wa nyumba yangu niliouanza miaka mitatu...
kwa sasa nipo field mbeya nasoma tanga chuo kkuu cha eckernforde! nina kiprot kama heka 1 je naweza enda bank na kukopa ili nifungue biashara? hati milik nnayo
Wana JF nahtaj kufungua biashara ya kuuza viatu(simple), kama converse, snika na vyovyote ambavyo vipo simple zaid na quality(grade 1) vya mtumba. hvyo anaeuza kwa bei ya jumla au anamjua mtu...
Wakuu sjajua kwa huku kwetu ila Kwa wenzetu eggs shell ni dill sana na huwa hazitupwi kamwe, ni biashara kama ziivyo biashara nyingine.
Nimeona kwene nchi kama Kenya wao eggs shell hukusanywa na...
Wakuu, kama kuna mtu anaweza kunielekeza mahali nitakakozipata aina hizi za kuku kwenye picha tuwasiliane please. Natamani kuwafuga kuwafuga wakuu kwani wanapendeza sana.
karibuni wadau wote wa mifugo kilimo na biashara.
natoa ushauri wa mambo hayo hapo juu
naweza pia kutibu magonjwa mbalimbali ya mifugo,kilimo. pia ushauri kuhusu lishe na pia michanganuo ya...
Wadau, Nilikuwa na mtaji mdogo nikanunua kiwanja kimoja nikakipiga fance ya wavu baada ya miezi 6 nkakiuza bei mara tatu ya niliyonunulia. Nikanunua viwili nikavipiga fance nishauza kimoja na...
naomba msaada tokwa kwa wajasiliamari wote
ningependa kujua garama za kufunngua/kusajiri company limited by share(garantee), process yote
i will apreciate it very much kwa mchango wowote ntakaopa