habari zenu wana jamvi hili la ujasiriamali. kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipita JF kama visitor tuu na sio user..ila ikafika kipindi nikaamua kabisa kuwa member.
My regret ni kwamba why didn't...
Wazima wandugu....nilikua nataman sana kuanzisha kampuni ya usafi...sasa naombeni idea yenu hii kitu inatakiwa kufanyaje...nilikua na wazo la kuisajili...kutafuta ofisi ila sijui mchakato wowote...
Courage
Inasemekana kwamba hakuna Mjasirimali aliye fanikiwa duniani bila kuwa na courage, ndo kitu pekee kinacho weza kukupeleka katika Dunia nyingine kabisa,
-Hatuweza fanikiwa katika biashara...
Habari zenu wajasiria mali naomba kwa mfugaji wa kuku mwenye uwezo wa kusupply kuku 25-30 kila siku tuwassiliane ata kama una uwezo wa kuwa nao angalau kwa wiki anagalau mara mbili au tatu uwe uko...
Assalam Aleykum Wana Jf.
Nategemea kama wajasiliamali mlifuatilia KONGAMANO kubwa la uwekezaji kanda ya kaskazini lilofanyika pale jijini Tanga
Nadhani itakua busara kama ntaibua fursa...
Niwaite wanaharakati wapiganaji wenzangu!
Nawasalimu kutoka Lupembe mkoani Njombe nikiwatakieni afya njema !
Muda mrefu kidogo nilipotea jukwaani ; lakini katika kurudi kwangu nimekutana na...
dear members of jf bee keeping in tanzania has been highly practised for many years, however since prime minister Mizengo Pinda came into power, hapiculture is now more emphasized,please i want to...
Wajf nahitaji kutoka kimaisha je ni biashara gan ndogo ndogo naweza kufanya yenye mtaji chini ya laki 5 nilifikiria ufugaji sema kwa ninapo ishi sina sehemu mana mjini hapa na mifugo amna space...
Natanguliza shukran za dhati kwa wanajamvi. Ni matumaini yangu wanajamvi wengi wetu mmepitia na kusoma habari za alizeti, kwa yoyote mwenye mchango wa soko la uhakika na bei ya alizeti kuanzia...
Nina njozi ya kuanzisha hifadhi ya nafaka kama biashara ndogo hapa Arusha lakini sina ujuzi wa kutosha katika fani hii na sijui kama nitapata faida. Mtaji wangu ni milioni 5 tu! Nifanyaje wapendwa...
habari zenu wakuu, natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha mifugo especially kuku, wateja wakubwa ni wale wenye viwanda vya kutengeneza vyakula hivyo, tatizo sijui...