Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Hivi huko wapendwa wangu munakula vipi sikukuu ya leo? Maana huku sado la nyanya ni 10,000/= sawa na ongezeko la asilimia 150%
0 Reactions
4 Replies
561 Views
Ndugu wanajanvi Salaam, Nahitaji mtu alie na shamba tushirikiane Mimi nitaweka nguvu zangu na usimamizi asilimia zote endapo yeye atakuwa na majukumu mengine. Lengo langu ni kupambana na kupata...
3 Reactions
6 Replies
773 Views
Wataalamu naombeni msaada huu ugonjwa naona ni mgeni kwangu vifaranga wanavimba macho na midomo alafu sio kama ile coryza uvimbe wake ni mgumu hautoi chochote ukibinya na sio kwamba hii ni ndui na...
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Ruto akiwa shambani kwake akiotesha Ngano.
0 Reactions
10 Replies
663 Views
Hili jambo nimekuwa nikijiuliza na sijawahi kupata ufumbuzi.. Naombeni msaada wadau. Ni kosa kisheria kuvua, kusafirisha na kuuza sangara (Nile Perch) wa ziwa Victoria wenye urefu chini ya...
0 Reactions
4 Replies
612 Views
Mimi ni kijana ambaye Nina nia ya kuwekeza kwenye kilimo Cha nyanya ila Sina elimu kuhusu nyanya vizuri. Napenda kujua je naweza kupanda nyanya mkoa wa njombe ? Na kama inawezekana ni mwezi gani...
4 Reactions
3 Replies
638 Views
Habarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"! Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe. Katika hiyo...
13 Reactions
116 Replies
8K Views
Itoshe kusema mko poa wakuu. Leo nimeona si vibaya ni share nanyi Kwa uchache japo aina4 za kuku wa kienyeji japo najua/mnajua Kuna aina nyingi sana za kuku Hawa. Mimi nitawajia Hizi aina 4...
13 Reactions
42 Replies
4K Views
Naomba mnijuze jinsi ya kuzuia magonjwa ya vifaranga wa kuku wa kienyeji maana kila nikifuga vifaranga wanapata vidonda kuzunguka macho na vinakufa
4 Reactions
14 Replies
9K Views
WANA KILIMO NAOMBA KUJUA ZAO LA DENGU JINSI YA KULIMA KIASI CHA MAVUNO NA BEI
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Habarini za saiz!? Kwa mtu anayefahamu kwa wilaya ya butiama ni zao gan la kilimo ambalo linalimwa katika maeneo hayo hasa zao kilimo la biashara !?
0 Reactions
6 Replies
751 Views
Jamani mbona mahindi yamepanda bei sana?
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika! Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa: ✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso...
3 Reactions
2 Replies
746 Views
3 Reactions
32 Replies
897 Views
Bila kupoteza muda Nina mashamba ya viazi mviringo vilivyotosha kuvunwa. Napatikana mafinga Iringa *Bei kipeto 1 Cha debe 5 ni ni sawa50000 *Debe 1@ 10000 *Usafiri ni juu yako Nawasilisha wasap no...
1 Reactions
0 Replies
342 Views
Habari za Asubuhi wadaunwa sekta ya Kilimo, Naomba kuuliza je ni siku ngapi mbegu ya tikiti ya sugar queen F1 toka hutumia hadi kutoka ardhini maana ya kwangu ni siku ya tisa bado haijatoka na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello wajasiriamali jf Natumai hamjambo na mnaendlea kupambana kujenga taifa pia uchumi binafsi. Bila kupoteza mda twende na mada yetu tajwa hapo juu.. VIFAA Pumba Box au ndoo NJIA chukua...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Naomba kutoa ushauri wangu kwa waziri wa Mifugo na Uvuvi kuhusu upungufu wa samaki ziwa victoria , Tanganyika na ziwa Nyasa . 1. Umuhimu wa uvuvi. Kama tunavyofahamu uvuvi ni biashara kubwa sana...
3 Reactions
6 Replies
502 Views
Samahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie nipo iringa.
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Dawa za kinga na chanjo nazijua, chakula ni uhakika kwakua kuna mashine ya kukoboa na kusaga unga wa mahindi. Eneo lipo la kutosha na maji ya kumwaga. Mtaji ni kuku 15 niliowakuta hapahapa kwa...
42 Reactions
231 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…