Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kwa wafugaji waliopo maeneo ya Bunju, Mapinga, Kerege na Zinga ninaweza kuwaunganisha kupata pumba za kulisha mifugo kwa wingi. Bei ni 21000/- kwa gunia la debe saba. Tuma ujumbe ukionesha kiasi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau nampango wa kufungua kastudio kadogo kwaajili ya kusafisha picha za digital na film, je ni vifaa gani natakiwa kuwa navya na wapi ntavipata. Asanteni
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Wana jamii nisaidieni hivi ni kweli hawa jamaa wapo hapa dar na wanatoa mikopo ya kifedha? Tafadhali tujuzane kwa kina.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Elisha Chuma ameandaa mpango kabambe wa ushauri wa biashara kwa wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa na wale wanaotaka kuanzisha biashara ili kuwawezesha kuwa wafanyabiashara wakubwa na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
10 commandments for a youth to be successful 1. Do not depend on Ur parents' wealth. Someone may come tomorrow to dupe you and you will lose everything. Learn to do things on ur own. 2. God has...
20 Reactions
56 Replies
7K Views
Nauza majogoo makubwa yaliyo changanywa na KUCHI... Yana kilo 4..nimeyatoa kwa wasukuma... Jogoo moja elfu 35...Nipo ubungo kona vituo viwili mbele kutoka ubungo stendi...my number is 0717578551
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi ni sahihi kumfungulia bihashara mpenz wako ambae bado hamjaoana? Na kama ni sahihi unafikiri kwa mtaji wa sh. milioni moja unaeza kumfungulia bihashara gani? Samahani kwa kulileta huku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF nauza kiwanja chenye nyumba ya vyumba viwili kimefikia linta. Kina ukubwa wa mita za mraba mia saba. Kipo nyuma ya Marian Boys. Mita mian na ishirini toka Bagamoyo Rd. Bei mil ishirini na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila idea nayojaribu kubuni inani'cost zaidi ya 500,000/= mfano biashara ya kununua kuku toka Singida na kuwauza kwenye migahawa. Naombeni mawazo yenu wadau niweze kujikwamua, nifanye nn kwa hii...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Here is the link.... Get your Home Based Job Guranteed Today and earn upto 9000$ Weekly - InternetDuty.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aina ya vifaranga ni chotara(malawi) rangi ni kanga nyeusi/brown na nyeupe uzito ni kg3-5 wanapofikia miezi 3 na kuendelea, wamekwisha pata chanjo zote,vitamins pamoja na antibiotics...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ninatafuta mnunuzi/soko la mtama mweupe..nina tani 150. Ni pm kwa maelezo zaidi
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Njooni tujifunze kwa bakhresa! 1.ANZA MAPEMA, Acha kukawia (Show up early) Fanya kile unachodhani unaweza kufanya, fanya mapema iwezekanavyo, acha kukawia. Usisubiri hadi muda wa kila kitu kuwa...
3 Reactions
5 Replies
5K Views
GARI inauzwaaaa....! Toyota Starlety...Engine c.c 1331, year of manufacture 1997. seating capacity 4 passangers....price TSH 4,200,000/- pekee +255713780010 pia kuna bei ya maelewano pita hapa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima zenu nyingi sana wakuu Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu aliyeniongoza mpaka nikajiunga JF hasahasa hili jukwaa letu tukufu maana nimejifunza mengi japo mengi yamenipita sababu wadau...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Ndugu wana jamvi Jf nimeshindwa kujizuia nikaona nitoe ya moyini. Mosi- Nawashukuru sana tena sana Wote Wana JF mnaotumia muda wenu na pesa kutuelimisha waTz juu ya mafanikio. Be blessed a lot...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naomba kujuzwa NMB wanakata makato ya asilimia ngapi ukichukua mkopo, mfano mkopo wa miaka 2,3,4,5 na mambo yapi yanazingatiwa naombeni msaada jamani
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Salaam; Naomba msaada kwa anyejua mahali yanakopatikana yale maboksi ya kufungashia keki, kama kuna mawasiliano yao au kuelekezwa walipo nitashukuru sana. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu marabaada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari mwaka 2012 nilijiunga jamii forum nakuwa mnazi ma jukwaa hili, nilijiingiza katika ujasiliamali kwa kusaidia watu mbali kupata mifugo bila mimi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau... ningependa kujua nitapataje mashine ya kutengeneza pellet ya chakula cha mifugo[samaki/kuku]. kuanzia ndogo ya 50kg per hr mpaka 1ton per hr. Iwe ndani ya nchi au kokote duniani [used au...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…