Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Mimi ni kijana ambae nipo Kigoma Vijijini sina mtaji ila nimeweza kuandika mchanganuo wa muladi wa matitkitti maji nina mashamba hivyo Naomba Musaada wa mutaji na ntaweza kurejesha ndani ya miezi...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari wako unajasiriamali naombeni ushauri juu ya hii biashara ya mchele haswa maeneo ya kuchukua kwa jumla, gharama zake na usafirishaji wake had dar nataka nifanye hii biashara ..mtaji wangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza ipad laki sita ina 64 gb
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jamvi baada ya kufanya kazi ya kuajiliwa kw muda Nina mpango Wa kufungua kampuni ya matangazo... Naomba mwenye kujua biashara hii...changamoto zake... na pia ufunguaji wake... Nawasilisha
1 Reactions
13 Replies
3K Views
wadau mimi nipo dodoma mjini nna mtaji wa sh. Mill 3, sasa kwa waliopo dodoma naombeni mnisaidie kuzitambua fulsa zilizopo, mana mi nimeziona baadhi ambazo kwa mtaji huu sitaweza kuzitekeleza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habarini, naomba anayeweza kunipa mchanganuo wa vifaa muhimu vya kisasa kwenye salon ya kike na bei zake, nianze kujipanga. KARIBUNI
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Ninahitaji kampuni au mtu anayeweza kunikopesha mashine hii hapa kwenye picha, nahitaji chombo chenyewe kama kilivyo na siyo pesa lakini sina dhamana. Nitalirejesha deni hili...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari wakuu? Kwa sasa unaweza kuwa wa kwanza kabiasa kupata KARI improved Kienyeji, Hawa ni kuku wenye utagaji wa kiwango cha juu kabisa kuliko hata kuku wa Kisasa wa mayai, Kwa sasa unaweza...
6 Reactions
28 Replies
12K Views
Habari za Jamiiforums. Kuku wangu wengi wameanza kuugua mafua, na kufa kwa haraka, Sijui wamekula nini? tangu tarehe 2/2/14 kila siku kwenye banda ninakuta kuku aliyekufa" Msaada wa...
0 Reactions
54 Replies
12K Views
Habari zenu. Nimekuwa nikipata maombi mbalimbali ya ushauri wa mambo ya biashara kutokana na posts zangu ambazo nimekuwa nikiweka humu JF. Na ambayo ilisababisha meseji nyingi zaidi ni ile post...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi mbegu nzuri za vitunguu ni zipi nitajie jina lake. Pia heka moja ya vitunguu hutoa gunia ngapi? Na kwa mkoa wa mara na mwanza gunia la vitunguu huuzwa kwa bei gani?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hallow wana jf... Nmerud tena niko nauza nafaka zote yaan mchele, unga, maharage, mafuta ya alizeti na vingne vngi vyote vinapatikanika kwa bei ya jumla na rejareja. ..... Tena kwa bei nafuu kabisa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau karibuni Kwa picha zaidi kuonyesha jinsi KILIMO na Ufugaji kinavyowatoa wengine,inaweza kuwa wewe Leo karibu Kwa kitabu chochote cha Ufugaji na aina yoyote ya KILIMO.Piga simu 0758303090
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau, niko Dar na nina shamba la heka 2, nataka kuanza project ya ufugaji Kitimoto. ni wapi nitapata mtaalamu wa mifugo anielekeze jinsi ya kuanza na kuwatunza vizuri?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau walioko kwenye mtandao wa instragram,tembelea page yetu hapo upate mwongozo kuhusu KILIMO biashara.Ununuzi uuzaji na ushauri wa maswala ya KILIMO na UFUGAJI Kwa ujumla. Asante
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf Katika pita pita zangu hapa mjini kwa kipindi cha wiki mbili nmeona kampuni zaidi ya 6 zinazoshughulika na kuprocess maziwa kama vile;tanga fresh,mara milk,dar milk,profate nk...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamii?Mimi ni mchungaji ambaye nahitaji kujikwamua na ugumu huu wa maisha. Nina wazo la kutafuta tsh milioni 2 na hapa nina taslim tsh laki 2. Naendelea kutafuta zingine. Nimewaza...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Mwenye taarifa juu ya uuzwaji wa gari tajwa hapo juu naomba anijulishe. Iwe na rangi ya silver na iliyo kwenye good condition kwa matumizi. Pesa ipo cash. Tuwasiliane kwa +255717935721
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bei M7.5 maongezi yapo!!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…