Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wana Jukwaa, Kama kichwa kinavyoeleza, nafikiria kufungua biashara husika ila kabla ya kufungua nimeona nilete uzi jukwaani ili nipate maelekezo kutoka kwa watu wenye uzoefu na biashara...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
wapendwa, mimi ni mtanzania ambaye nimeamua sitawaachia wawekezaji wa nje peke yao wafaidike na utajiri wa nchi yangu. ivi karibuni nilipata kuongea na rafiki yangu ambaye ni foreigner na amefika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana natumai muwazima na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nataka kufungua kampuni ambayo nitakuwa nawatafuta...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za Humu wana MMU. Naomba mchango wenu kwenye hili jambo langu. Mie jamani naomba ushauri wenu nimejichanga weee kwa mda wa miaka 33 sasa adi leo hii nimepata kiasi cha Tsh 3M. sie watoto...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
naomba wakuu nisaidieni kama kuna mtu mwenye anamilik berbershop aniambie vitu gani huhitajika
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar jf? Bila shaka nyie ni wazima wa afya! Kabla ya yote nitakuwa si mwenye busura, nisimpomshuku Mungu mwenye enzi, na vitu vyote vimekuwepo kwa ajili yake.Nina ndugu yangu ameshindwa kufanya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba maelezo au taratibu ninazotakiwa kuzifzifata ili niweze kufanya hyo biashara
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kama akili ingekua hela basi ningekua millionaire..!katika akili yangu nina idea nyingi za biashara tena nzuri,ila tatzo ni capital..kila ninakoenda kupata msaada they either want money ama...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika pekuapekua zangu nimekuja kukutana na blog hii ambayo mada zake ni za ujasirimali na zinafunza, kusisimua na kuhamasisha ujasirimali. Sijaona shida kushirikisha maana naona ni mkufunzi...
6 Reactions
34 Replies
17K Views
Nataka nianze kufuga kuku wa kisasa tatizo nahofia dagaa na upatikanaji wake kwa anayejua ntawapataje kwa bei nafuu, kwa kanda ya ziwa anielekeze tafadhali..
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Helow wakuu, nipo kwenye mchakato wa kufuga ila lengo langu ni sawa na research yan nataka ndani ya mwaka mmoja nione kama nitafikisha kuku elfu moja kutokana na directory za humu plus za shuleni...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Samaani wadau kwa wanaojua kilimo nikiwa na lak tano naweza kulima kilimo gan..tafahali naombeni majibu toka kwenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wajasilimali naombeni kujua bei ya vifaranga vys broiller kwa mwanza, vinauzwa shillingi ngapi kwa sasa?? Nitashukuru sana kwa msaada , najipanga nigependa kuanza biashala ya ufugaji wa kuku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nahitaj papai za kununua kwa bei ya jumla.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu waungwana.....nimekuja hapa kuwaomba ushauri na ntaheshimu mawazo yenu..! nataka kufungua radio katika mkoa mmoja wapo wa kanda ya ziwa (mwanza,geita,shinyanga au simiyu),nimeshaanza...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
natafuta kuku wa kienyeji pure sio chotara,wawe makoo wakubwa tayari ambao washafika umri wa kutaga
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Mnakaribishwa wote kupata ushauri na fursa ya biashara hapa Tz. Kwa wale waliojaribu biashara mbalimbali bila mafanikio na kukata tamaa na wangependa kujaribu fursa nyingine tena ni-inbox...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naombeni ushauri wenu, ninampango wa kufuga Bata au Kuku wa nyma kwa ajili ya biashara, naomba ushauri wenu kipi kinalipa. Nategemea ushauri mzuri.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji mayai ya kuku wa kisasa treyi 50 kwa elfu 6000/=.nipo dar es salaam. No.0686-854242
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani naomba kujulishwa wapi nitapata mayai ya kuku wa kienyeji na bei yake ikoje?niko dar Asanteni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…