Jameni kwa wale waishio Mufindi, Iringa na maeneo yanayozalishwa mbao, je kujaza ile semi, inaweza gharimu kiasi gani, naomba wazoefu wa biashara hii au wanaoijua kiundani zaidi
wadau.
nimeshakodisha chanja la kuhifadhia kitunguu changu somewhere iringa-malolo.
mwaka huu machale yalincheza sijalima.
nimeshanunua gunia kama 50 za kitunguu iliyo safi na maalum kwa...
Naomba mawazo yenu wadau mfano ukiwa na mtaji wa million 1 unaweza fanya biashara gani ambayo ikakuingizia kipato kwa hapa Dar. Naomba mawazo yenu kama hautaona ujumbe huu haukufai basi ni bora...
Kuna wanaojua kutengeneza hayo material au sabuni za masinki na vyoo. watusaidie namna ya kutengeneza tuweke mazingira safi.
Shukeni formulae nawategemea sana wale wa Dar, Mbeya, Kigoma, mnajua...
Wadau m-pawa nimeisikia ikitangazwa sana kuwa itatusaidia sana wajasiriamali hasa wadogo. Kwa
kuwa tukiweka hela yetu itakuwa inazaa faida. Naomba mwenye uelewa wa namna faida inavyopatikana...
Habari wajf mm nmehitimu chuo july wakati naendelea kutafuta kazi nataka nijikite kwenye kilimo kuna shamba maeneo ya malela ningependa kuuliza ni mazao gani yatakayofaa kuanzia na ambayo yataweza...
Wadau naitaji kuku wa kienyeji majike 10 nataka nifuge jogoo ninaye tayari
Mwenye nao anichek PM bei yake
Napatikana dsm
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
jamani mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji ila kila napototolesha vifaranga majogoo wanatotolewa wengi kuliko matetea.
Naomba kujuzwa kama kuna tecknolojia ya kulitambua yai lenye kifaranga cha...
Habari wakuu, wajenga Taifa na wachukuia mafisadi na ufisadi.
Kutokana na mipangilio yangu ya kikazi nimeamua kutokulima vitunguu kwenye shamba langu la Ruaha Mbuyuni mwaka huu. Nina eka 50...
Habari. Katika shughuli zangu za kiujasiriamali nilihitaji kwenda kununua dollar 20 ktk bureau de change moja hapa mjini Dar. Wakanipa dollar 20 ambayo baada ya kufika home nikagundua kuwa ilikuwa...
wadau naombeni msaada wa mahali ninakoweza kupata sodium nitrate n calcium cabonate. Hizini materials muhimu katika uzalishaji wa mkaa wabriquette. Nisaidieni jamani nijikwamue maana maisha...
Habari wadau,
Naomba kusaidiwa contact za mtu yeyote anaweza kunipatie miche ya apple.
Zote za kienyeji na zile za south africa. Na bei yake tafadhali. Asanteni.