Jamani kwenye gazeti la SUNDAYNEWS MARCH 8, 2015 limeandika habari hizo kuhusiana na mayai ya kwale kwamba si tiba kama tulivyosikia wale wajuzi wa suala hili tafadhali tujuzane.
Nilikuwa naomba ushauri wanajamii.
Hawa kware unaweza kuwafuga kama kuku namaanisha mabanda yao maana nimeambiwa wanaruka kama ndege je naweza kuwafuga huria yaani banda na wakawawanatoka nje...
[SIZE=3]Nipo Dodoma mjini nina Sungura wengi wa kuuza. Kwa anayehtaji anitafute kwa email. gmwidimya@gmail.com
au number 0757176667 au 0652176066. ikiwe bei ya sungura dume nishilingi 25000 na...
Habari wadau wote,
Nataka kufungua duka la kuuza madawa ya mifugo ila kwa sasa nataka niweke ya kuku kwanza,mtaji wangu ni mdogo kama 3M (milion tatu ),tayari nimeshalipia fremu.Garama ni...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa kujua/kuielewa kampuni tajwa hapo juu(OLI FRAME) nirekebishe km nimekosea spelling.
Nimekutana na muhusika wao mmoja jana na kunitaka nijiunge nao,ameniambia...
Poleni na majukumu wakuu,
Nafuga Kuku wa nyama, lakini hadi kufikia Leo wana wiki ya nne maendeleo yao sio mazuri, kwa kifupi wamedumaa! Nilikuwa nawapatia chakula cha CPF lakini hawakui kama...
Habari wadau. Nina kuku wa kienyeji 30 sasa naomba kujua ni kuku wa aina gani ambao ni mahususi kwa nyama yenye quality ambayo ni mbegu kubwa, tamu,laini na isiyo na kamba ili niweze kumix na hawa...
Habari wadau?
Naomba kujua Kuhusu:
*Aina za mashine hizo
*Bei zake
*Upatikanaji wake(Mahali zinapopatikana)
*Faida zake Mfano (kwa wiki mpaka mwaka)
n.k n.k...
Nimejifunza kitu kimoja, kama kila anayepata ushauri humu ndani na akatekeleza na kuleta mrejesho kama wafanyavyo baadhi ya watu wachache, basi ingezidi kujenga ari ya Ujasiriamali, ninaanza...
ndugu zangu naomba kwa mwenye ujuzi wa vitu hivi nataka kuanza biashara ya kuuza chostic au koni au ice - cream lakini cjajua kama huwa zinafaida naombeni mnijuze ndugu zanguni wenye uzoefu tafadhali.
Mayai ya kwale yanapatikana kwa wateja wa dar na mwanza kwa bei ya 20000 trey au 15000 kwa wateja wa jumla kuanzia trey 10 karibuni sana..
Mawasiliano 0715881870 au 0756933156
Habari wanajamvi wenzangu.
Naomba kujua nikitaka kufanya biashara ya kusafirisha mkaa kwenda kuuza nje ya nchi kuna utaratibu gani ambao napaswa kuufata.
Naomba wenye uzoefu au kusikia taarifa za...
Habari wana Jf,
Katika pita pita zangu za kutafuta biashara ya kufanya nilipita katika duka moja wanalouza bidhaa zilizotumika na kuona printer ndogo yenye uwezo wa kuscan, fax, kuprint picha na...