Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wana JF, Ni imani yangu kuwa hapa tunakutana watu wa aina mbalimbali na wenye elimu na utaalamu mbalimbali. Nina mpango wa kufungua huduma za kutoa mikopo kuanzia mikopo midogo, ya kati na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wengi hujikuta wakiwa wanahangaika wataanzaje biashara bila kuwa na kiasi kikubwa cha pesa. Wakati huohuo, wengine wana pesa lakini hawana ujuzi wa msingi wa kuweza kupata zaidi ya kiasi...
19 Reactions
51 Replies
42K Views
wasalaaaam!! Mimi ni kijana wa miaka 24, muhitimu wa Shahada ya Elimu, na nimekulia katika mazingira ya ufugaji wa KUKU kwa kiwango cha kati! Nilitaka ushauri toka kwenu kuhusu kuanzisha...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wanajamii nielekezeni jinsi nitakapopata mafunzo yauzalishaji wa sausages, upatikanaji wa vitendea kazi vya pia kama unaushauri wowote kuhusu uzalishaji wa sausages kwa small scale.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mm n kijana wa miaka 23,nasoma chuo kikuu.nina laki 4.nataka nianzishe mtaji au kitu kitakachoniingizia pesa huku nkiwa nasoma(yaani biashara ambayo haitahitaji mda wangy mwingi ili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wasalam! Nataka nisafirishe viazi kutoka Mbeya kuja Tanga. vipi vinalipa wadau au mnanishaurije kuhusu hili?
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Nina mpango wa kuanza biashara ya mchele, nina million 30. Nilikua naomba ushauri wenu kuhusu biashara hii.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Baada ya Kutofanikiwa kwa mara ya kwanza Katika Network Marketing( Biashara ya Mtandao ) Nilikaa na kujifunza na kusoma kutoka kwa waliofanikiwa ni jinsi gani naweza kuwa na kipato cha ziada...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Ni miaka miwili sasa, najitahidi angalau nione manufaa, hatimaye ijiendeshe na kuinua maisha yangu na jamii yangu. Lakini sasa naona inanishinda hata kuaibika kwani Biashara haiendelei na nazidi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nataka nipate kware wa porini kuna sehemu nimepita nimekuta pori ambalo lina kware. Naomba mwenye ujuzi katika kuwatega na kuwakamata hawa kware anijuze.
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Natafuta wanunuzi wa machungwa! Nina gunia kama 20 zipo shambani. Hazijavunwa zikivunwa ni gunia 20! Yoyote mwenye inputs. Tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salam ndugu zangu kwa mwenye kufahamu anaisadie ni vifaa vip ambavyo vinahitajika katika radio station.. Ili iweze kurusha matangazo yake hewani.. Msaada jaman kwa mwenye kujua.. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mahali haya matunda yanalimwa? au miche inapatiakana? kwa anaye weza kujua basi anifahamishe mara moja, sana sana miche yake.
0 Reactions
35 Replies
13K Views
Jamani Mimi Nimehitimu Chuo Cha Kilimo, Lakini Kutokana Na Ukosefu Wa Ajira Nataka Kutumia Ujuzi Nilio Nao Wa Kutengeneza Incubator Ktk Kujimudu Kimaisha, Lakini Tatizo Sina Mtaji Hata Wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanajamvi wenzangu ningependa kufahamu dawa za kuku wa kienyeji za miti shamba zinazokinga na kutibu magonjwa yafuatayo na namna ya kuziandaa. 1. Mdondo 2. Kuharisha(kinyesi cha kijani) 3...
0 Reactions
3 Replies
32K Views
Kuna kipindi hili jukwaa lilikua limejaa habari ya Kware na mayai ya kware.Watu walikua wako moto kuingia kwenye hii biashara wakiamini ni fursa yakuwatoa kwenye umasikini. Binafsi tokea hii kitu...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
wanajamii habari zenu, Ninafuga kuku, tatizo limejitokeza tangu Jumamosi, kuna kuku 1 anachechemea, nimejaribu kumchunguza labda anakidonda au kapigwa but hakuna, kuku ana umri wa miezi 6 wenzake...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wasalam wanajamii .ninaufuta tani50 .natafuta soko. Namba yangu 0712155462,asanten sana
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa yeyote mwenye ujuzi wa bei ya mashine. Naomba anijuze Tafadhali
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu hbr za kazi??,Anayejua lilipo soko la Nyanya kwa bei nzuri,ani-pm.Mimi ndio ninaziuza.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…