Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kwa anayehitaji kufungua nyumba ya kulala wageni, vitanda vinapatikana vilikuwa vikitumika kwa shughuli hiyo ila mfanyabiashara amepata wazo jingine na anahama hilo eneo. Vipo vya size tofauti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf. Ninaomba kufahamu kwa yeyote anayejua gharama za kusafisha pori hadi kupata ardhi inayofaa kupanda mazao ni kiasi gani kwa heka moja. Nimennua eneo pwani kibiti na ninatarajia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mayai ya kisasa kwa bei ya jumla yanahitajika, bei isizidi tsh 5,500/= kwa trei na yawe makubwa. Mteja yuko Dar es Salaam na anahitaji trei 50 kila week Ongea na mteja kwa number hii 0654 163...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari; Nipo Dar na nahitaji matunda y strawberry, nitayapata wap?? Msaada tafadhali
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Salaam, Natafuta soko la vitunguu popote East Africa, Niko tayari kuuza gunia kwa Tsh 95,000/= kama order ni kubwa sana mpaka Tsh 120,000/=. ( Bei inaweza kuongezeka yote yanategemea na uko wapi...
2 Reactions
56 Replies
26K Views
Ninauza majogoo aina ya Malawi kwa bei nafuu kabisa na ni maelewano. Nipo Arusha kwa mawasiliano piga 0764393962 Karibuni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana niliyehitimu chuo fani ya ugavi na manunuzi, kutokana na ugumu Wa ajira niliamua kubuni wazo la Biashara ili nisipoteze muda. Nilifikiria kuanzisha Biashara ya...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari za leo wana jamiiforums. Nataka kulima kisasa lakini sina ujuzi wa kutosha katika masuala ya kilimo. Nina mtaji kiasi. Nataka nianzishe kampuni yangu ya kilimo cha mboga mboga. Natafuta...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JF Naishi USA nimepata order ya copper, mnunuzi anahitaji 20 au 40ft container. Wadau mlio serious ni biashara hii wekeni contact zenu, unatuma container likifika ndio malipo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu anaefahamu bei ya jola la kitambaa plan cotton % ya kutengenezea batiki na vinapopatikana
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Umri wa siku 1-3 kwa 1400 tu. Mawasiliano 0717221590
0 Reactions
24 Replies
6K Views
anayefaham bei ya jumla viazi vya chips mkoani Mbeya anijuze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nataka kufanya biashara hiyo hapo juu huku ninakoishi. Kwa wazoefu; Nahitaji kuwa na mtaji kiasi gani? Vitu gani vingine vinahitajika? Asanteni kwa mawazo yenu.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wadau nataka niwe nafanya biashara ya rim msimu wa shule zinapofungua..wakati huo nakuwa nimeshapitia mashule kadhaa na kujihakikishia soko kabla shule hazjafunga..ivo nisaidien ambapo naweza pata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naombeni nifahamishwe kuhusu gharama za kusafirisha mbao toka Mafinga kuja Dar es salaam. Je,unafata mtiririko upi ? Je, pia kwa mkoa wa Iringa biashara ya mitumba inalipa?
0 Reactions
10 Replies
7K Views
habari wanajamii wezangu, ninahitaji kujua ni sehemu gani wanauza mashine za kuranda mbao na ni kwa bei gani Jijiji Dar, uwezo wake na ipi ni bora zaid kwa kuanzia biashara hii! matumizi yake ya...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Natafuta mashine ya kuangulia mayai. Mwenye info mahali zinapopatikana na bei zake kulingana na capacity. Kama hutajali na mashine ya kuchanganya chakula.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ya kwenu wanajukwaa. Naomba uzoefu kwa aliyewahi au anayefanya biashara ya mchele wa jumla kutoka mbeya na shinyanga au Morogoro kupeleka mikoani hasa kilimanjaro. Nahitaji kufahamu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya kupitia post mbalimbali juu ya kilimo biashara nimeona leo niwape ushauri baadhi yenu,nimeona wengi wenu mnahamasika sana na hizi post au mmefanya maamuzi kutokana na hizo post. Sio jambo...
3 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wanaJF. Bado natafuta mtu anayeuza samaki(Sato & Sangara) kwa bei ya jumla Dar es Salaam. Nataka fungua bucha ya samaki. Plz kama uko Dar tuwasiliane kwa namba hii 0769141105. Asante
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…