Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Mahitaji Boksi, bakuli la maji, bulb, holder na themometer. Jinsi ya kutengeneza Toboa boksi mduara wa kutosha kufit bulb, weka mayai, bakuli la maji kwa ajili ya kutengeneza unyevu na mwisho...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu, Naomba kujuzwa kuhusu semina za amka na badilika ratiba take na je,zinamanufaa ya kuonekana au zinamsaada kwa sie tunaotaka kuanza ujasiriamali mdogo mdogo? Nisaidieni please!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari! Kwa wale waliowahi kusoma UDSM (Mlimani) miaka ya nyuma huenda wanamkumbuka huyu kijana "sharobaro" muuza karatasi ambaye inadaiwa ni "mnyalu" kutoka kule Iringa. Alichokuwa anafanya ni...
17 Reactions
81 Replies
14K Views
Habari zenu Wanajamvi, Kiukweli nimemaliza kutengeneza banda langu kwa ajili ya mfugo wa kuku wa nyama. Kwahivyo naomba kupewa maelekezo mazuri juu ya:- 1. Kifaranga mmoja ni sh ngapi ? 2. Wapi...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habarini za kazi wadau, Natafuta wanunuzi wa asali mbichi mjini Dar es salaam. Kwa yeyote anayehitaji ani pm
0 Reactions
0 Replies
2K Views
RIJK ZWAAN ni kampuni iliyobobea kwenye utengenezaji wa mbegu bora za mboga mboga. Kwa tanzania tuna matawi mawili Arusha (Q SEM na AFRISEM). Pia tuna tawi jipya Mwanza na sasa Bagamoyo. Kutoka...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Nina Pesa Ppf 5m Ila Kwasasa Sifanyi Kaz, Nilitaka Nichukue Mkopo Wa 2m Nmb Kwa Dhamana Ya Hela Ya Ppf Maana Ppf Mkataba Hatuja Katatisha Bado. Hv Inawezekana?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa wajasiliamali wadogo.mashine mpya zimeingia.wahi mapema .mawasiliano zaidi 0754 645253
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Salamu !nataka Nianzishe Kilimo Cha Umwagiliaji Maeneo Ya Wazi Na Pia Nilime Kwa Kutumia Green House.nimekutana Na Changamoto Ya Maji Na Nikaamua Nitafute Mbinu Ya Kua Na Kisima Kirefu Ili Kua Na...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
Harini wadau wa JF, Nina shamba ekari 50 zenye rutuba maeneo ya Jaribu Rufiji, mimi sina muda wa kufuatatilia/ au kuendeleza, natafuta mtu mwenye nia, mtaji wangu uwe ni shamba, yeye aendeleze...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau nauza kuku wa kienyeji jumla na rejareja, bei inaanzia elfu 12 mpaka 20. napatikana dar mbezi ya kimara. napatikana kwa no 0758065919
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyosema, nauza majogoo bei tsh 14,000, yako saba. Napatikana Ubungo kibo, kwa mawasiliano zaidi ni pm, au piga 0717301520
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nina kamua mwenyewe 100% pure kwa wale wa mbali nitakuletea mpaka ulipo,napatikana dodoma simu:0782433682
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ni kijana ambaye ninasoma chuo kikuu kwa sasa nilikuwa nahitaji mkopo wa Tsh 4ml kwa ajili ya mtaji wa biashara ambayo nimeibuni. Sasa tatizo sina kitu ambacho namiliki kwaajili ya kuviweka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nataka mtaji, mimi nina Diploma ya IT na ni mtaalamu sana kufunga CCTV Camera, kwahiyo nikipata mtu akiniwezesha nitashukuru au akinitafutia kazi ili nipate mtaji.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni nafasi ya kipekee kwetu sisi vijana kwa kujiajiri kwa mtaji wako mdogo sana wa tsh elfu 40 na kutengeneza zaidi ya usd 500000. Check me on 0759 116066
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana jamvi, Nataka kuanzisha mradi wa kilimo na ufugaji nipo Mkoa wa Shinyanga, wapi naweza kupata mkopo? Tafadhali nisaidieni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wapendwa, Mimi ni mjasiliamali mpya kabisa na nataka kuanza na kuku wa kisasa wa mayai hivyo naomba mnisaidie yafuatayo, Nataka kuanza na kuku 500(vifaranga) nahitaji mtaji kiasi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wana jamii. Ninahitaji eneo kubwa popote nchini ambalo nitauziwa kwa bei poa ili nichimbe bwawa kubwa la kuvunia maji ya mvua kwa ajili ya kilimo. Naweza pata wapi ndugu zangu. MI ninaishi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…