Wakuu habari za pasaka.
Kama kuna memebr yeyote humu amabe anatokea songea, naomba kufahamu juu ya upatikanaji wa mbolea ya samadi huko. au hata maeneo ya jirani.
Kwa kifupi nategemea kuanza...
Ninafurahi sana kupokea taarifa hizi toka home vigerman shepherd 8 vimezaliwa leo nataka nivipe mafunzo ya kikamanda na ulinzi naomba tips za namna ya kuwafundisha ulinzi ikiwezekana kila mmoja...
Wapendwa nina maharage ambayo yamechambuliwa vizuri na kukaushwa vizuri aina ya njano, soya, meupe makubwa, meupe madogo, na mengineyo mengi naomba mnisaidie soko la kuuza maarage yangu nina tani 10
Ngugu wana jf nimeleta hii thread kuhusu ngombe anaye zaa mapacha:
UKWELI NI KWAMBA:Endapo ng'ombe ata zaa mapacha na akawa amezaa jike na dume hio product haitaweza kuzalisha tena ila endapo...
Habari za mida wana JF,
Kuna baadhi ya makabila wao kwao ni mwiko wanawake kuchuma mboga, kuingia bustanini, au mashambani wanapokuwa katika Ada ya mwezi(hedhi). Wengi hudai kuwa mazao...
Zifuatazo ni baadhi ya fursa zilizopo Tanzania ambazo wajasiliamali wanaweza kuzitumia kupanua biashara zao.
Uzalishaji miwa
Kutokana na ongezeko la watu na ukuaji wa kipato miongoni mwa...
Wakuu Natumai Mko Poa.
Ninaomba msaada wa kufahamishwa hili zao la hoho mbegu bora mahitaji na soko zuri n kwa wakati upi wa mwaka?
Msaada wenu wa mawazo ndyo mtaji wangu nataka nijimwage na hoho...
Ndugu zangu natarajia kujenga josho kwa ajili ya kuogeshea mifugo yangu ipatayo Ng’ombe 300 na mbuzi 600.hivyo naomba mwenye ramani pamojana mahitaji ya ujenzi ili niweze kuitimiza ndoto...
Wana bodi saalam!
Sekta ya kilimo ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi yetu,lakini kwa bahati MBAYA sana serikali ya Tanzania imeitupilia mbali.
Panahitaji mageuzi ya dhati na makubwa ktk sekta hii...
Tanzania ni nchi yenye walaji wa nyama wengi na kuku huliwa kwa kiasi kikubwa sana.
Hata kama bei zinapanda, ulaji unaendelea kukua.
Matokeo yake ni kwamba kufuga kuku inaweza ikawa biashara...
Hata kama ni kuosha vyombo, niko tayari. Nahitaji kazi yoyote ile nitakayo imudu. - JamiiForums
Hata kama ni kuosha vyombo, niko tayari. Nahitaji kazi yoyote ile nitakayo imudu.
Sent using Jamii...
wakuu habari ya asubuhi, napenda mtu mwenye nia ya kufanya kilimo Cha canola tuwasiliane.
Nimekaa nikatafakari nikaona canola inaweza kuwa mbadala wa alizeti sehemu ambazo alizeti haifanyi vizuri...
Ida si kubwa ya wa-Tanzania wanaishi kijijini, Hii ni takribani 70% ya wa-Tanzania. Hawa wanategemea kilimo ili kuendesha maisha yao. Bado jembe la mkono ndiyo nyenzo kubwa ya kutendeackazi...
Jamani wa ndugu habarini? Naomba kujuwa zao la cocoa kwamaana ya eka moja inapandwa miche mingapi inakuwa. Utavuna baada ya muda gani, mavuno yapoje kwa mti, na bei ipoje sokoni kwa kg.
Sent...
Tanzania na Brazil zimeingia makubaliano ya kuinua kilimo cha Pamba ili kiwe na tija kwa wakulima nchini.
Makubaliano hayo yamejili wakati ambapo Brazil ipo katika hatua kubwa za kimageuzi ya...
Habari za muda huu wanabodi
Naomba kufahamishwa gharama (ijumuishe mtaji, vifaranga, chakula na dawa) za kufuga kuku hawa kwa kuanzia na kuku mia natakiwa kuandaa kias gani
Nimejaribu kusoma...
Habari za asubuhi ndugu zangu
Nina kuku chotara wakubwa na wanataga mayai. Lakini ndani ya wiki wameanza kuvimba miguu kwenye ankle. Alafu naona kama wanaambukizana. I je, huu ni ugonjwa gani, na...
habari ya leo..
Binafsi ninamiliki shamba dogo maeneo ya Ksarawe kwa DC JOKETI lakini halinisaidii chochote kwani sifugi wala sililimi kutokana na ukame ulioikumba ukanda wa pwani wa Tanzania...
Sisi kama Wafugaji Wanyama ndio tegemeo letu kubwa katika kuinua hali zetu za kiuchumi, Vile vile Wanyama ni viumbe wenye Matumizi Mengi kwa binadamu kuanzia Chakula mpaka Urembo.
Kwa namna...